Hivi Rwanda wana maendeleo yapi kwa mfano? Unajua vitu vingine vinachekesha mno jamani

Mi nadhan wengi wanashangaa Rwanda ilivo kutokana na historia yake keamba ni nchi iliyotoka vitani which means inatakiwa ilinganishwe maendeleo na waliokua vitani kama Burundi, South Sudan, CAR, DRC nk.. Kuilinganisha Rwanda na Tanzania kwa chochote ni makosa makubwa, ni matusi ya nguoni watu wanafanya mchana kweupe tena hadharani..

1: Leo tukisema tuwe na roho za wasouth Africa kuwakataa waafrica wenzao tuamue kuwafukuza wanyarwanda ujanja wore mfukoni
2:Tukisema tufunge mapori yote asiingie ng'ombe wao hata mmoja watakufa njaa
3: Tukifunga ziwa Victoria asiingie hata mnyarwanda mmoja kununua dagaa wala sangara wa kubanika hawa jamaa wataishi kwa mlenda na mchicha
4; Tukiwakazia kama tunavowakaziaga Kenya kuhusu ishu za biashara wataanza kufa mmoja mmoja kwa kukosa mahitaji muhim

Hawana lolote la kujivunia ndo maana wengi wanakimbilia nje ya nchi yao kukimbia dhiki kinachonishangaza ni wanavokua wajuaji na kutuvimbia Baba zao

Hizi nondo akizijibu kichwa maji jestika unitag Please.

Rwanda wanachowazidi watanzania ni wanawake zao wenye visimi vyenye urefu kama kidole na kumwaga maji kitandani kama mabomba ya DAWASCO, kinyume na hapo ni porojo za wakimbizi waishio ng'ambo kama JESTIKA.
 
Ongea point sio matusi, hayatokusaidia
 
We jamaa unaishi ndotoni sana.. Tanzania imuhitaji Rwanda kwa kipi? Kila siku mnafurushwa kwenye mapori ya Tanzania mnamofugia ng'ombe kinyume na sheria.. Mna bahati kipindi cha Kikwete alipata washauri wazuri alikua awatafune mchana kweupe maana tayari zana nzito za kivita tayari zilikua zimesogezwa Benaco tayari kuiteka Kigali Amiri Jeshi Mkuu akitoa amri..
Katika kipindi ambacho jk alikuwa serious ni kipindi cha mgogoro wa Rwanda na Tanzania, kikwete ni kamanda wa ukweli.
 
Hizi nondo akizijibu kichwa maji jestika unitag Please.

Rwanda wanachowazidi watanzania ni wanawake zao wenye visimi vyenye urefu kama kidole na kumwaga maji kitandani kama mabomba ya DAWASCO, kinyume na hapo ni porojo za wakimbizi waishio ng'ambo kama JESTIKA.

Enjoy the beutiful of Rwandese na sasa hv watz wengi mnaenda kuoa Rwanda Proudly Rwandese.
 
Enjoy the beutiful of Rwandese na sasa hv watz wengi mnaenda kuoa Rwanda Proudly Rwandese.
Sio kuoa tu mimi nimeanza kuwagonga wanyarwanda miaka nenda rudi, to be honest mimi siwapendi wanawake wa rwanda wanamwga maji hovyo kitandani.

Dogo mimi natokea wilaya ya Ngara nawaelewa wanyarwanda saaaana. Halafu wanyarwanda wanashobokewa sana na coastal regions lakini huko makigoma na ngara ndani ndani tunawaona wapuuzi tu.
 
Sio kuoa tu mimi nimeanza kuwagonga wanyarwanda miaka nenda rudi, to be honest mimi siwapendi wanawake wa rwanda wanamwga maji hovyo kitandani.

Dogo mimi natokea wilaya ya Ngara nawaelewa wanyarwanda saaaana. Halafu wanyarwanda wanashobokewa sana na coastal regions lakini huko makigoma na ngara ndani ndani tunawaona wapuuzi tu

Kuna limoja nimelipiga mashine miezi kadhaa linatokea kigali, linamwaga maji balaaaA... Ila lilisema nisilitangaze.
 
Ww ndio maana tukasema elimuuu, jiulize dadayako kagongwa mara ngapi huko nje, na mbona watu hawajisifu kama wamemgonga,?? Unajua ww ulipatikana vipi ?? Unajisifia ngono, hayo ndio maendeleo ulionayo Mtz mwenzangu
 
Uzuri ni kwamba nimeshakupa ONYO KALI. Cheza na Watu wote Mkuu ila Wanyarwanda tuache kwani utakuja ' Kujuta ' bure. Shauri yako! Kila siku ' Wapuuzi ' wachache mkija humu Jamvini Kazi yenu ni Kuisema tu vibaya na kuipaka ' matope ' Rwanda yetu mtadhani hata hii ' stability ' iliyopo sasa baada ya kuwepo katika ' machafuko ' yetu ya ' ethnic cleansing ' mlishiriki kutusaidia. Tena Tanzania mnatuhitaji Rwanda kuliko hata ambavyo Sisi Rwanda tunawahitaji nyie. Ukweli ndiyo huo na wenye ' akili ' kwa hili watakuwa wameshanielewa. Ukiwa na Rafiki kama Rwanda yakupasa Kumpenda, Kumbembeleza na Kumpenda sana tu kwani IQ yao tu ' iliyobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu Kwao ni ' Mtaji ' tosha kuelekea katika Maendeleo. Na sasa tunawaacheni tu mkibaki na ' Majungu ' yenu.
Acha kutisha watu nyie ni maskini na hamna dili lakini kwa propaganda mnajitahidi LAKINI USIJARIBU KUTISHA MTU.
 
Tehtehteh, watu kama sisi hatujibishani na madem wenye mimba, yaani atuna maneno mengi, ww lea hio mimba yngu tu
Eti watu kama sisi

Sema mtu kama mimi Bwege wewe. Kiswahili chenyewe hujui. Naona dozi niliyokupatia moja unasema mbili, maji unaita MMA na Mwanaume wa shoka umeanza kumuita Demu.

Hahahaha Mkiambiwa muwe mnaacha kushokobokea Midume ya shoka mjini ona sasa nimekuharibu Mtoto wa Mama Joshua.

Haya kapakande na Maji moto.
 
Rwanda inasifiwa iliwasije kurudia yale ya mwaka 1994. Hata Mtoto akijikwa, mwaambie unajua kuruka (huku kachubuka goti) hatolia ila ukionyesha mstituko tu/ ukiwamaambia umeumia pole, hapo utakuwa na kibarua cha kumnyamazisha.
 
Hatasiku moja inchi inayo ongozwa na Muuwaji kama KAGAME, itakuja kupata utulivu. Uchumi wa Rwanda unakuwa kwa wizi wa Madini na Mauwaji KAGAME na wapumbavu wenzake EAC, wanafanya DRC congo. Tokea 2005 hadi Leo nizaidi ya watu milioni 6 wame uwawa na kagame huko DRC congo
 
Rwanda ni suala la muda tu mkuu watu wana vinyongo wametulia, usione kale kanchi kametulia udhani kuna amani mioyoni. Siku wakiona kale kajamaa kamevuta watarudi miaka ileeeeee
 
Hata kuzidiwa tu ' akili ' na mwenzako pia ni Maendeleo makubwa. Kama Wewe ulipigana Vita mwaka 1978 na mpaka leo bado tu unapiga ' mark time ' katika Maendeleo lakini mwenzako aliyekuwa katika ' Genocide ' mwaka 1994 lakini leo hii nchi yake inakimbia kwa kupata Maendeleo huku ikisifiwa hadi na IMF na WB huku wakijikita zaidi katika Technological Advancement na Kukubalika zaidi na waliotutangulia ' Kiakili ' huko Ulaya na Marekani hayo siyo Maendeleo? Tena kuwa makini sana na Kuiongelea au Kuichokonoa Rwanda. Namalizia kwa Kukuasa tena kuwa iache Rwanda kama ilivyo na ' Maslahi ' ya Rwanda na Ustawi wake yatatetewa na kupiganiwa kwa gharama yoyote ile na wale Maadui zake na Wanafiki kadhaa walioko katika Kanda yetu.

Tumewavumilieni sasa tumechoka!
Niliacha kuamini takwimu za hao jamaa au labda siwaelewi. Kuna kipindi walitangaza Nigeria kuwa first growing economy in Afrika. Ikabidi niangalie kama kuna nchi nyingine inaitwa Nigeria. Nikakuta ni ileile yenye rushwa ya ajabu, Vita utekaji na ulipuaji wa miundombinu. The same to Ethiopia nchi inawezaje kuwa na uchumi mkubwa wakati watu wanaandamana kila siku mapigano hizo bidhaa au treni na ndege zinapataje pesa kutoka kwa raia ....nahisi kuna lobbying zinafanyika kuitangaza nchi kukua kiuchumi ili ipate mikopo etc
 
Dah umenifany nicheke jamaa anamwaga maji ya mapovu kam kachukuliwa mke

Mmh nahisi natukanwa mda si mrefu
Yaani umehisi kuna tusi litakufuata huko ulipo hahahaa...
Mkuu ungekuwa polisi ungefaa sana ktk crime protection... Hahaaa
 
Back
Top Bottom