Hivi Rizmoko ana umri gani?

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Wana jamvi,
Nimekuwa namsikia huyu kijana lakini sijajua cv yake,je mwenye details zake aweke hapa,age wise,educational background nasikia anapesa kuliko age yake.


Naweka mezani

wakatabahu mwananchi
 
nina cheti chake cha kuzaliwa, nikuscanie?
 
Ni Rizmoko kaka yake Mwanaasha,baba yao Vasco Da Gama,

majibu tafadhari
 
Miaka kumi na 5 elfu mia tisa ticn na tisa na sent hamsini na tisa point tisa.
 
he is my age-mate!...tumepishana hospital tu tulizozaliwa...
 
nadhani alizaliwa kipindi kileee kule kijijini wanapanda mahindi, kipindi cha mvua kali sana hiyo ni baada ya ile njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…