Ana experience na ban kwa hiyo hataki muumini wake apate kama yeye
ungemPM, ingeleta maana zaidi.
Naitafsiri kama siasa za majitaka!!
ungemPM, ingeleta maana zaidi.
Naitafsiri kama siasa za majitaka!!
mmmmmh Kongosho! Jamaa si kauliza tu hapa! Kuna ubaya?!
Hahaaa poa Kongoshosi ndo kama hizi!!!??!!!
read btn the lines
there is a polite way of telling somebody F*ck you!
Kama hujui ndo ivo.
Angalizo: nilisema 'naitafsiri' sio lazima na wengine waone hivyo
mmmh haya bana lol lakini it simz kuna mtu kaku bore.
am just having fun here
sijaboreka hata kidogo
natoa tu, first impression ya hii sred.
Hope amekusoma mkuu....kuna watu wengine wana matatizo binafsi. Au wewe kongosho ni ID nyingine ya masanilo? Wewe umekuwa ukichangia sana thread za 'kutakana' za akina jane, mbona huwaambii watumiane PM na hiyo issue huwa ni private? Mimi nimepata "warning" kutoka kwa masanilo unataka nimuulize mwenyewe ninaye mtuhumu? Kama unakuwa umechoka una kula lapa, si kuandika utapiamlo kwenye thread za wengine!
Nimepata warning kutoka kwa huyo mkuu kutokana na post yangu kwenye thread fulani. Sijui alinitumia kama moderator au alijisikia tu! Ninachojua huyu mkuu ni mhanga wa ban za kutosha kutokana na michango yake yenye kejeli za kidini! Mwenye taarifa atujuze!
Hiyo siasa ya maji taka ndo ipi??
Nimepata warning kutoka kwa huyo mkuu kutokana na post yangu kwenye thread fulani. Sijui alinitumia kama moderator au alijisikia tu! Ninachojua huyu mkuu ni mhanga wa ban za kutosha kutokana na michango yake yenye kejeli za kidini! Mwenye taarifa atujuze!
Nimeukwaa UMOD wa kujitegemea
Acha kupost mashudu na mashuzi hapa JF
You have been warned!
Kama za ccm!