Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Hizi siasa za Tanzania zipo Kama upepo watu wanabadilika kulingana na upepo.
 
Ni ccm
 
Ni kweli Mengi ni mchaga na Chadema yetu ni Full uchaga kwa kwenda mbele,lakini tatizo linakuja Kuwa mengi ni ccm lakini anajaribu kusaka huruma za wanachadema zimusaidie kwa masilahi yake binafsi.

Sasa tunapopiga debe humu kuwa CDM ni chama cha wachaga wakati tunajua fika kuwa kunaakina Mengi wengi ambao ni CCM huwa tunafanya hivyo kwa maana gani?? JF huwa tunajifanya maGT wakati wakati majority ni Poor Thinkers!!
 
kwel wewe ni zero

Wewe Mtawa na akili yako ya ubuyu usijifanye unajua ................. If you think you are a propaganda machine here, you are kidding yourself .................. your are pathetic!!
 
Anatumia mpaka adobe movie maker; kama chadema wamefanya mkutano hakuna washabiki anchanganya picha za mikutano ya 2015, chalinze alitumia sana na kalenga . Lkn mwishowe kaangukia pua.
 
Mkuu, I'll
Hivi NBC ilifirisi Plka au tuliiuza kwa makaburu kwa bei sh 19 bil, sawa na bei ambayo pAsenal waliyolipwa na Real Madrid kwa ajili ya Nicolas Anelika.
 

eti nini? Piga kazi acha ujinga. Ukabila utawauwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…