Kwani hilo wewe ulikuwa hujui?Kiongozi wa dini sio kiongozi wa kisiasa. Chalamila yupo sahihi.
Kwani hapo kakosea nini?
Kwani wewe ulikuwa hujui?Kwani hapo kakosea nini?
Kumbe wewe ulikuwa unajua!!Kwani wewe ulikuwa hujui?
Ukweli utatuweka huruYuko sahihi kabisa
Ulitaka asemeje?
Maana sasa hata askofu kibaibo mwamakula atadai ni mkuu anchi
Tulishafundishwa kutenga ya Kaizari
Msilazimishe mambo
Madaraka yashamlevya
Sahihi kabisaNikushauri kitu ingawa hujaomba ushauri!
Ukimuona mtu ana hali hii fanya juu chini Mkwepe haraka sana!
Siasa ni maisha na maisha ni siasa.Soma Mwanzo 1:29-30.Pia kumbuka kuwa sisi Wakristo mpaka tufike hapa Karne hii tumepambana Kisiasa,Kiuchumi,Kielimu,Kiutamaduni,Kijamii na ndiyo maana tunaitwa Wakristo.Bila Siasa tusingekuwa Wakristo.Kiongozi wa dini sio kiongozi wa kisiasa. Chalamila yupo sahihi.
Alichoongea kibaya kipi hapo!!??
Atakuwa haishii tu kulamba miguu, atakuwa analamba hadi makalio yake.Huyu ni miongoni mwa walamba miguu ya mama Samia.