mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 479
Ni fan wake leo katumia neno fyekelea mbali akielezea msaadz wa benki yz duniaHuyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Mie kwangu namba 1 ni wa Mwanza.Katika wakuu wa mikoa wa JPM huyo peke yake ndiye nampa pointi zote mia moja kwa hekima, busara na uchapa kazi.
Idimi; uko sawa kabisa kwa mwenendo huu wa sasa wa mwendokasi bila comedy mbona wengi presha na stress zitawauaHakika. Jamaa ni mchapa kazi mzuri. Comedy pia tunazihitaji. Sio kila siku tuko serious tuuuuuu!
Idimi; uko sawa kabisa kwa mwenendo huu wa sasa wa mwendokasi bila comedy mbona wengi presha na stress zitawaua
Wewe wasema...
Hakika. Jamaa ni mchapa kazi mzuri. Comedy pia tunazihitaji. Sio kila siku tuko serious tuuuuuu!
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Kuelekea wapi?Tuna safari ndefu sana.
Kuelekea wapi?
Bahati mbaya saana, naona mkuu bado hujamfahamu Mwanri. Ni moja kati ya watu makini saana tena mwenye upeo wa juu saana katika kuelewa. Unayoyaona kwenye mitandao ni namna nyingine ya watu kujitafutia riziki kupitia yeye, lakini nikuhakikishie ni moja kati ya watu makini saana katika serikali tuliyonayo.Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Hivi mtaka alikua nani zamani ? Maana kuna nyimbo ya kilimanjaro band wameimba kisukuma nimemuonaNAWAKUBALI WAWILI
-MTAKA
-MWANRI