God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Mwishoni mwa mwaka jana nilisikia huyu rais amepotea ghafla nilidhani ji uzushi kumbe ni kweli!
Serikali ya malawi imetangaza kurudi kwake au bado?
Kama karudi alikua wapi? na kwanini asiage? Maafisa wake na wanausalama wake wanasemaje kuhusu hili jambo?