Hivi Rais Samia umekosa kabisa watu wapya wa kuleta mawazo mapya kwenye Taasisi/ Uteuzi wa Bodi una walakini sana

Au anataka huo Mfuko umfie yeye mwenyewe aliyeuanzisha? Ilipaswa achukue kijana wa miaka isiyozidi 45 awe Mwenyekiti li awe na uchungu kwani akimbwelambwela tu anaua Mfuko na yeye mwenyewe anakosa pensheni. Tena ingekuwa mimi ningemfanya yule Dr. Irene Isaka awe Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…