assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Kwa ufahamu wangu, malaika huwa hawakosei kwani wao wameumbwa kumtumikia Mungu.
sasa kwanini wanaomkosoa Baba J e s c a waonekane wabaya kiasi hiki mpaka wahojiwe?
hivi binadamu hakosei? akikosea asiambiwe.
"Only in Tanzania"
sasa kwanini wanaomkosoa Baba J e s c a waonekane wabaya kiasi hiki mpaka wahojiwe?
hivi binadamu hakosei? akikosea asiambiwe.
"Only in Tanzania"