Buhari yupo hapo kwa sababu ya tishio la Boko Haram. Hakukuwa na sababu za Magufuli kualikwa. Na hata kama angealikwa angemtuma Mh. Kassim Majaliwa na kusingeharibika jambo.
Halafu kuna viumbe wanataka kutuaminisha hata Marekani wakienda zao basi China ni Kimbilio letu ,Mchina Mwenyewe yupo hapo pembeni ya Obama anachekelea , kwa jinsi Jakaya alivyocheza na diplomasia vizuri hapo kwenye mkutano asingekosekana ama mwakilishi wake kwa heshima kubwa Tanzania tuliyoijenga na nchi za Magharibi ,Cuba miaka yote imeigomea Marekani leo hii wako wapi ?? Si juzi Obama kawatembelea ? Huwezi ishi kama kisiwa dunia hii bana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.