Hivi Rais Magufuli au wasaidizi wake huwa wanatafakari kabla ya kuposti Twitter? Au ni bora liende

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Tweets za Rais Magufuli zimekuwa zikiibua utata mkubwa kutokana na watu kuamini kuwa anachokiandika huwa hakitoki moyoni kwa sababu maandishi yake kwa kiasi kikubwa ni tofauti sana na kauli ama matendo yake...leo tena kaposti kuwatakia Wanawake heri ya siku yao, kinyume kabisa na dhamira yake ya kuwanyima elimu wasichana waliopata ujauzito kuendelea na shule... na wenye akili zao hawakuchelewa kumkumbusha(au kumpa makavu?)

Majuzi pia alizua utata kwa tweet zake juu ya kifo cha mwanafunzi Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, na hata baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi. Sasa mtu unajiuliza, huwa hatafakari kwanza na kurejea kauli zake za nyuma kabla ya ku-tweet? Au hao vijana wake wa press ndo wanamfanyia makusudi?
Screenshot_2018-03-08-14-25-08-1.png
 
Tweets za Rais Magufuli zimekuwa zikiibua utata mkubwa kutokana na watu kuamini kuwa anachokiandika huwa hakitoki moyoni kwa sababu maandishi yake kwa kiasi kikubwa ni tofauti sana na kauli ama matendo yake...leo tena kaposti kuwatakia Wanahake heri ya siku yao, kinyume kabisa na dhamira yake ya kuwanyima elimu wasichana waliopata ujauzito kuendelea na shule... na wenye akili zao hawakuchelewa kumkumbusha(au kumpa makavu?)

Majuzi pia alizua utata kwa tweet zake juu ya kifo cha mwanafunzi Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, na hata baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi...sasa mtu unajiuliza, huwa hatafakari kwanza na kurejea kauli zake za nyuma kabla ya kutweet? Au hao vijana wake wa press ndo wanamfanyia makusudi?
View attachment 707714
hatuna pesa za kusomesha wazazi.zinaa ni dhambi inayoathiri mwili na roho pia.hatuna imani na kina mama wanaotaka kurudi shuleni wasije kuwafundisha watoto wetu zinaa tukaendeleza kizazi kibovu.
 
Ila watanzania kwa unafiki hawajambo hivi ni lini kwenye hii nchi msichana aliepata ujauzito akajifungua, alirudi lile darasa aliloishia, lini na wapi?

Waliojifungua huwa wanaendesha elimu ya watu wazima mmemkwa au vyuo vya ufundi acheni kupotosha kusema wananyimwa elimu wakati bado wana fursa kubwa tu ya kupata elimu
 
hatuna pesa za kusomesha wazazi.zinaa ni dhambi inayoathiri mwili na roho pia.hatuna imani na kina mama wanaotaka kurudi shuleni wasije kuwafundisha watoto wetu zinaa tukaendeleza kizazi kibovu.
Hehehe watu ni wepesi sana wa kulaumu vitu bila kushirikisha akili zao, mama aliejifungua hawezi kukaa na watoto darasani lazima atafuate utaratibu ambao hautawaadhiri watoto, wanataka wamama waliojifungua wachangamane na watoto wawe wanawaadithia namna waume zao wanavyowashughulikia usiku ili nao wakajaribu kama ni kweli au story tu
 
[HASHTAG]#fact[/HASHTAG] mkuu upo sahihi sana
 
Ila watanzania kwa unafiki hawajambo hivi ni lini kwenye hii nchi msichana aliepata ujauzito akajifungua, alirudi lile darasa aliloishia, lini na wapi?

Waliojifungua huwa wanaendesha elimu ya watu wazima mmemkwa au vyuo vya ufundi acheni kupotosha kusema wananyimwa elimu wakati bado wana fursa kubwa tu ya kupata elimu

umeseoma Ilani ya CCM ya uchaguzi 2015??
 
Anaweza kurudi shule, ila kwenye elimu ya watu wazima na siyo shule za kawaida ambazo siyo maalum kwa wazazi.
 
Moyo wa mtu kichaka...uliyajuaje ya moyoni mwa mtu...
Nongwa
Majivuno
Kupenda kuponda
Yani watu kama wewe huwakataa hata wazazi wao kisa hawafanani na wa Fulani
Yule ni Rais ...na Mungu alipanga awe
Huwezi kupangua hilo
Kaa tulia jari yako tu.

Moyo wake ajuaye Mungu
 
Hehehe watu ni wepesi sana wa kulaumu vitu bila kushirikisha akili zao, mama aliejifungua hawezi kukaa na watoto darasani lazima atafuate utaratibu ambao hautawaadhiri watoto, wanataka wamama waliojifungua wachangamane na watoto wawe wanawaadithia namna waume zao wanavyowashughulikia usiku ili nao wakajaribu kama ni kweli au story tu
Kweli tupu
 
umeseoma Ilani ya CCM ya uchaguzi 2015??
Acha upuuzi.....Kwani ilani ya ccm NI MSAAFU au BIBLIA????.....
Ccm wao wanatabia ya kuriview mambo yao....PALE ambapo wanapoona si sawa WANAFANYIA kazi......HUWEZI UKAHARARISHA upuuzi kisa tu ni ILANI ya CCM.....
 
Back
Top Bottom