assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
kusocialize kunapunguza stress
Bashite kamteka akili raisi wetu hafurukuti kabisa.Ana socialize na bashite
Tatizo ni exposure. Mtu akitawalwa na roho na akili za kimasikini na matokeo yake ndio yanakuwa kama haya.Anatakiwa kukumbushwa kuwa urais sio vita!!
Namuona ana mrengo wa ki-antisocial zaidi hivyo ni sociopath!!
Na nani?Ndio anajamiiana