Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,621
- 2,919
Propaganda hakuna na hakuna kikosi toka rwanda kinacho mlinda Magufuli1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ
2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)
3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda
4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Wale Mabaka mimi nilikutana na mmoja wao tangu enzi za JK ila mara nyingi walikuwa Ikulu na sare zao.Propaganda hakuna na hakuna kikosi toka rwanda kinacho mlinda Magufuli
Ndani ya wale ma baka ninao watu zaidi ya wawili
Mmoja ni kaka wa damu na ni mkinga wa makete huko.
Na kuna mwingne ni skul mate Kibaha sec.
Acheni porojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisaNakujibu kama ifuatavyo.
Anayevalia sare ya JWTZ ni mpambe wake kazi yake ni kumsaidia Rais kazi ndogo ndogo kama kumbebea begi, simu n.k mara nyingi utamwona akiwa nyuma ya Rais.
Wanaovalia suti ni watu wa usalama, kazi yao kubwa ni kuhakikisha Rais anakuwa salama muda wote.
Wenye silaha kubwa wanaovalia combat kama za US Army ni walinzi, kazi yao kubwa ni kuhakikisha ulinzi kwenye eneo la tukio
Askari wa FFU kazi yao kubwa ni kutuliza ghasia na Askari wanaovalia kawaida kazi yao ni kukamata waleta fujo na ghasia
Nadhani mpaka hapo nimekujibu.
Hao wanakuwa Ni special weapons and tactical team,,kila nchi wapi tofauti tu majina,Ni kikosi tu chenye mafunzo ya kutumia silaha na mbinu advanced kuliko Askari wa kawaida.Kumbe Tanzania Kuna S.W.A.T duuh
Hapo kwenye with love 😅😅😅😅1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ
2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)
3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda
4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Hapo kwenye with love [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Labda siku hizi wamechanganywa na Wa-TZ je?😀😀😀Propaganda hakuna na hakuna kikosi toka rwanda kinacho mlinda Magufuli
Ndani ya wale ma baka ninao watu zaidi ya wawili
Mmoja ni kaka wa damu na ni mkinga wa makete huko.
Na kuna mwingne ni skul mate Kibaha sec.
Acheni porojo
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ
2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)
3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda
4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
Mkuu - yule raisi wa Syria analindwa na Warusi!Sijawahi kuona Rais yeyote duniani kulindwa na askari wa nchi nyingine hilo la Rwanda siamini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu - yule raisi wa Syria analindwa na Warusi!
Na wa Afghanistan analindwa na Wamarekani
Bado tu unataka mifano?
Mkuu - yule raisi wa Syria analindwa na Warusi!
Na wa Afghanistan analindwa na Wamarekani
Bado tu unataka mifano?
Mkuu umeshasema ni rais, sasa swala la ulinzi wake unataka ufafanuliwe hapa? wabongo ni shida aiseee..
Mkuu huo mjadala inabidi urudi kwenye threads wakati suala hili la walinzi kutoka Rwanda linajadiliwa sana humu JF.Kwa nchi zenye shida ya amani ila Sio Tanzania na kama una proof tuletee hapa sijawahis sikia kokote kitu kma hicho
Sent from my iPhone using JamiiForums