Hivi Precision Air mna akili kweli?

Na kuna rubani wao mmoja hupiga trip za arusha ni mjinga sana, anaweza kuwa hajaiva sawasawa au anafanya makusudi, huwa anarusha ndege na kutua kihovyohovyo sana tofauti na ndege ikiwa chini ya pilot mmoja bonge mzungu.
 
Jerrymsigwa

Pole kwa kucheleweshwa. Ndio, precision kuna matatizo. Lakini acha kujidharau, eti watu weupe wanatudharau, unafikiri kwa watu weupe hakuna kabisa delays na cancellations??
 

Ndo maana ukifile claim lazima damage iwe repaired.
Wakishindwa kwa njia za maongezi unawapeleka mahakamani ndo watalipa kwa njia ya mahakama na gharama za kesi juu
 
Ndo maana ukifile claim lazima damage iwe repaired.
Wakishindwa kwa njia za maongezi unawapeleka mahakamani ndo watalipa kwa njia ya mahakama na gharama za kesi juu

I personally had 8times bad experience with Precision air,
1. Hivi kila siku mimi niwe najaza hizo claims form?!
Mimi ni mmoja kati ya watu wangapi waliokuwa wanatumia Precision Air tuliopata usumbufu huo?
2. Kwanini kama shirika/kampuni msubiri kupelekwa mahakamani?
3. How do you "repair" important/official lost documents zilizopotea katika mizigo (tena una luggage tag)?
4. Hivi hauna kazi nyingine ya kufanya other than kufuatilia "kwa maongezi" juu ya usumbufu, upotevu uliosababishwa na shirika la ndege?
5. Kwa experience yako na mahakama za Tanzania(kwa kusikia au kuwa na kesi mahakamani), how fast mahakama zetu zinatoa hukumu?
 

Sometimes unawapeleka mahakamani ili kuspeed process ya wao kukulipa. Not all the times will they accept to be dragged to court for their own mistakes. And not all the time that all cases are decided at the court. Some are taken for mediation and arbitration.
You have to know that trick too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…