Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Hivi polisi wanawezaje kupata Simu iliyoibiwa
Nazani kichwa Cha habari kinaeleweka ?
Au basi ngoja nikuulize tena Umeshawahi kujiuliza ni vipi polisi wanaweza kupata taarifa ya kichaa chako kilichoibiwa .
Siku hizi kesi zimekua nyingi za wizi wa simu Yani zimekua kha kesi za utapeli nyingi mnoo..!! Ila imekuwaje nimekuja na makala hii ni Yako
ikiwa umeibiwa au kupotea maana wabongo mnapenda kujuzwa
Unapoenda kutoka taarifa ya kifaa chako kimeibiwa polisi watataka risiti uliyonunulia na taarifa za hicho kifaa ukiwa hauna basi jua utapigwa kalenda inshu yako mpaka ukome labda huwe huko vizuri zaidi.
Ikiwa Simu itaibiwa basi Kuna kitu kinaitwa IMEI number international mobile equipment identity. Ni nambaa za kipeke Katika Kila kifaa Cha Simu ambacho hakiwezi kufanana na kifaa chengine.
Polisi uchukua IMEI namba kisha wanaangalia kwenye database kupitia operator mbalimbali nchini ambao ni tigo voda , Airtel , halotel na nk.
Ambao watoa huduma wa mitandao mbalimbali huweza kuwapa taarifa polisi kuhusu nambaa ya simu ya kifaa kilichoibiwa , sms anazo chart na watu , location pamoja na call logs zake anazopiga au kupigiwa.
Polisi wao wanaangalia nambaa zako muhimu unazotumia kuwasiliana na watu Kisha wao wanaanza kuwasumbua ndugu jamaa au rafiki zako kwa namna yoyote hile mpaka wakupate pia ukiwa online wanajua eneo ulilopo basi wanakutimbia .
Hivyo polisi wao wanashilikiana na watoa huduma mbalimbali za Simu kuweza kupata taarifa za kifaa kilichopotea ndipo mtuhumiwa anadakwa kwa style hiyo
Ebu tuambie ulikua unalijua ili au ndo nakufumbua macho tuachie maoni yako ?
Teknolojia ni Yetu Sote