Dah zilikuwa zinatangazwa kama matangazo ya kifo RTD... Daily kutwa mara 3... In fact ile ilikuwa sera ya JK... Kwasasa tunahimizwa kufyatua hivyo automatically lady pepeta zinakufwa kifwo cha mbendembende
Wanawake sio wavaaji wala waimizaji wa kondomu.Na kama wapo bhasi ni wachache sana.Hayo majukumu ya kuvaa ama kutovaa tumeachiwa wanaume.Wao kila kitu ni poa tu