Hivi nyoka na binadamu, nani hampendi mwenzie?

Hivi nyoka na binadamu, nani hampendi mwenzie?

Nani hampendi mwenzie?????? jibu la hili swali linahitaji research ya muda mrefu. inabidi tuchukue nyoka mdogo tumweke na mtoto mchanga katika chumba kimoja kwa muda mrefu halafu tuone nani ataanza kumsumbua mwenzie. otherwise tunapeana majbu ya kufikirika tu hapa
 
Huyu nyoka ni mkorofi mno usimbe ukutane nae.

The feared Black Mamba is found throughout many parts of the African continent. They are known to be highly aggressive, and strike with deadly precision. They are also the fastest land snake in the world, capable of reaching speeds of up to 20km/h. These fearsome snakes can strike up to 12 times in a row. A single bite is capable of killing anywhere from 10-25 adults. The venom is a fast acting neurotoxin.

Its bite delivers about 100–120 mg of venom, on average; however, it can deliver up to 400 mg. If the venom reaches a vein, 0.25 mg/kg is sufficient to kill a human in 50% of cases. The initial symptom of the bite is local pain in the bite area, although not as severe as snakes with hemotoxins. The victim then experiences a tingling sensation in the mouth and extremities, double vision, tunnel vision, severe confusion, fever, excessive salivation (including foaming of the mouth and nose) and pronounced ataxia (lack of muscle control).

If the victim does not receive medical attention, symptoms rapidly progress to severe abdominal pain, nausea and vomiting, pallor, shock, nephrotoxicity, cardio toxicity and paralysis. Eventually, the victim experiences convulsions, respiratory arrest, coma and then death. Without antivenin, the mortality rate is nearly 100%, among the highest of all venomous snakes. Depending on the nature of the bite, death can result at any time between 15 minutes and 3 hours.


mkuu ritz google kuna kipanya kinamkalisha koboko hii unaonaje
 
mkuu ritz google kuna kipanya kinamkalisha koboko hii unaonaje

Kinaitwa honey badger kama sijakosea kwa kiswaz kibakua asali ni tatizo hyo koboko(black mamba) akikiona anakimbia kama kaona moto ko wazungu weng wanafuga hvyo vibwana wakiöna sehemu hyo ina koboko weng.
 
Hili tukio acheni tu wadau,mbaya zaidi kuna mfanyakazi mwenzangu wa kike tulikua tuko nae tumesimama wote,
itabidi nifanye salat ya usiku leo,kumshukuru mola kwa ihsaan yake .
 
Hata ukikimbia koboko lazima akulambe. na akikuuma huchukui hata dakika tano. lazima ufe. halafu hakuna dawa. ukiumwa tu kwa heri
 
Mkuu nakukatalia kuna sehemu umesema kweli ila sehemu si kweli,kwanza napenda kufanya-declaration kwako kuwa na wengine kuwa mimi na binadamu wote kuna uhusiano mkubwa sana toka dunia ilipoumbwa na ndiyo maana ilikuwa rahisi sana kwa shetani kumtumia nyoka katika kumdanganya huyo mwanamke EVA,Shetani alijua wasi kuwa huyo mwanamke wana mahusiano mazuri na nyoka hivyo akimtumia anaweza fanikisha njama zake hizo,ni kweli nyoka wako aina nyingi na wengine hawana sumu lakini hata kama ukiangukiwa au kukutana na nyoka ambaye ni hatari hawezi kukurupuka tu na kukuuma inawezekanatu kama nyoka huyo alishawahi kupigwa au kujeruhiwa na binadamu yeyote

maana yeye mtu au kitu chochote akikurupushana nacho awe mtu au mnyama yeye huwa anakumbukumbu sana kama ni binadamu popote atakapo muona binadamu basi anaweza kumshambulia akijua kuwa yule aliyekurupushana naye karudi tena kupambana naye na mara nyingi sana nyoka wale hatari hukumbana na ng`ombe huko machungani na mara nyingi sana ng`ombe humshangalia sana nyoka lakini nyoka hujaribu sana kutoa ishara ya kujionyesha kwao kwa zaidi ya mara tatu ikizidi hapo basi huweza kuwauma na kuanzia hapo kila atakapooona ng`ombe basi hujua kuwa adui yake kafika ndo mara moja huanza kushambulia.

Nyoka hawezi kumshambulia mtu au kitu chochote mpaka kwanza atoe tahadhali mara tatu au zaidi Kwanza kama ana uwezo wa kutoa sauti hutoa sauti kwa nguvu ili tu wewe umuone na uchukue hatua ya kurudi nyuma Pili kama ana ana uwezo wa kusimama anaweza kusimama ili tu wewe umuone na uchukue hatua ya kurudi nyuma Tatu kama ana uwezo wa kutema mate basi anaweza kukutemea mate machoni ili usimuone na yeye aweze kwenda zake bila kudhuriwa na wewe na kama wewe utakuwa hujaona alama hizo zote tatu basi kuna uwezekano mkubwa sana wa nyoka kukuuma.

Kwa ujumla nyoka si hatari katika maisha ya binadamu kwanza yeye ana maskio mali sana anaweza kusikia kishindo cha binadamu kuanzia mita ishirini hivyo anaweza kuchukua hatua ya kujificha au kutulipale alipo ili wewe upite bila madhara yoyote kwake na kwako pia,Na kuna makabila fulani hapa nchini yanadai yana uhusiano na nyoka na ni ndugu zao na kuna wengine wanaitwa majina ya nyoka,Lab nielezee mahusiano ya Binadamu na nyoka yakoje,Kaa ukijua wazi kuwa hasa wale wanaoishi vijijini mara nyingi sana waishi na nyoka bila wao kujua nyoka anaweza akakaa hata miaka bila wewe kumuona maana mara nyingi sana hufanya harakati zake usiku ukiwa wewe umelala ndo yeye anaanza kutafuta chakula chake kama vile panya vyura mende na wadudu wengine wadogowadogo,

Nimekuwa jeshini kipindi kirefu wakati mnapokwenda polini mkiweka tu hema baada ya siku moja tu tayari siku mnalitoa lazima mnakuta chini ya hema lenu kuna nyoka na msipofunga hilo hema mtashitukia mnalala na nyoka ndani ya hema lenu lakini hata siku moja nyoka hawezi kukuvamia na kukuuma unlessotherwise huyo nyoka kuna mtu alikurupushana naye na kumjeruhi huyo anaweza kukuuma bila tahadhali yoyote.Nasema hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nimeishi na nyoka zaidi ya miaka 40 sijaona kama ni hatari nyoka si hatari ni vixuri tu ukajua tabia zao ili asikudhuru kwa mfano kama nyoka amelala kanyooka kabisa huyo hawezi kukuuma lakini akijikunja jua anataka kukurukia hivyo usijaribu kumsogelea nyoka aliyejikunja maana ni rahisi kwake kukurukia Picture 187.jpg Picture 174.jpg Picture 191.jpg
Kuna nyoka wa aina nyingi na tabia zao ni tofauti sana kuna nyoka wengine hawana muda na binadamu wala hawana sumu.

Ungejua kama kati ya binadamu na nyoka na mkorofi ungeangukiwa na Cobra au Chatu sasa hivi ingekuwa msiba hapo nyumbani.

Kuna nyoka wengine wana sumu kali sana kila kitachotoktea mbele yake anagonga tu.
 
Picture 189.jpg Picture 188.jpg Picture 176.jpg
Kuhusu KOBOKO na nyoka wengine wenye sumu kali Mungu alishatuepushia nao maana mara nyingi sana sana nyoka hao hawakai karibu na watu na hawapendi kelele kukiwa na kelele yoyote nyoka hao huhama makazi hayo haraka sana,pia Nyoka hao nao hutoa tahadhali hawavamii hivivi tu mfano KOBOKO yeye husimama na kutoa sauti ya kutisha sana yote haya ni kukutahadhalisha ti wewe Binadamu.
 
nyoka.jpg NYOKA-1.JPG
Angalia nyoka huyo kawekwa kwenye beseni tayari kupelekwa kwenye Bwawe ili akapate mlo wake huko wa vyura na wadudu wengine wa kwenye maji uzuri wa nyoka kama hawa hawawezi kukaa ndani ya maji kwa zaidi ya masaa mawili baadaye anapotoka wanamweka kwenye beseni na kurudi naye nyumbani bila shida,kuwa na nyoka kama huyu ndani mwako ni vizuri sana maana panya na wadudu wengine huwezi kuwaona kabisa na si hatari kwa binadamu yeyote isipokuwa vigezo na masharti kuzingatiwa ukimwona ametega(Amejikunja) usimkaribie kaa mbali naye Ritz
 
Last edited by a moderator:
Koboko anaweza kuishi karibu na makazi ya binadamu. uliza wakazi wa tabora wanajua sana
 
Koboko kuishi karibu na makazi ya watu ni bahati mbaya sana inaweza kutokea lakini ni nadra sana maana yeye hapendi kelele na akiona hivyo mara nyingi sana huhama eneo hilo labda katika kuhamia eneo lingine ukakutana naye hapo ndiyo matatizo yaweza kukukunba.Lakini pia huyo havamii tu bali huwa anatoa early warning kwa mhanga wake.
Koboko anaweza kuishi karibu na makazi ya binadamu. uliza wakazi wa tabora wanajua sana
 
koboko ana uwezo wa kugonga(kuuma) ng'ombe hadi kumi na mbili kwa wakati mmoja na wote wakafa ndani ya dakika kumi
 
Kuna nyoka wa aina nyingi na tabia zao ni tofauti sana kuna nyoka wengine hawana muda na binadamu wala hawana sumu.

Ungejua kama kati ya binadamu na nyoka na mkorofi ungeangukiwa na Cobra au Chatu sasa hivi ingekuwa msiba hapo nyumbani.

Kuna nyoka wengine wana sumu kali sana kila kitachotoktea mbele yake anagonga tu.

Usiende mbali sana huyu jamaa angekutana na koboko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom