BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,770
- 6,242
Habari za muda huu wadau,
Nimetoka nje hapa ofisini kwetu, nikiwa nimesimama chini ya mti wa muarobaini kwa bahati mbaya nyoka wa kijani akaniangukia kichwani sikumuona, akaruka chini na kuondoka haraka sana.
Sasa nimekaa na kujiuliza, kati ya nyoka na sisi nani mkorofi? Hivi mimi ningeanza kumuona si ningemuua? Mbona yeye kaniona kakimbia?
Tuchangie kwa umakini wadau..