Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

Kweli mkuu, kuna mambo yanaonekana ya maana kwa muda lakini madhara yake ni ya kudumu kama sio kuangamiza kabisa.

Huyu mleta uzi anawashangaa wadada kupenda kudanganywa wakati yeye hajishangai kudanganya, ajabu sana. Inakuaje mtu ujisifie kufanya zinaa?

Bila Hiyo Zinaa Kufanywa Na Washua Wako Wewe Ungekuwa Unapumua Leo Hii? Zinaa Ndiyo Mpango Mzima Na Naipenda Kupita Maelezo!
 
Nyie mabinti bila kudanganywa siku zote hamwezi kumkubalia mtu,nina ushahid wa mabinti kumi na mbili ambao wote nilivyowadanya mimi ni afisa flani mahala,eti wakanipatia kibwengo chao,yena walikuwa wasomi na wenye heshima zao,sasa nawashangaa vi sistar duuh vya hapa eti vinabisha bila sababu,kama wewe unabisha hebu jiulize Uchi wako ushaliwa na wanaume wangapi na kwa bahati mbaya hata mmoja hakutoa mahali wala kukuchumbia,,,

Bora Wewe Umedanganya Na Umewala Hao 12 ILA Mwenzako Sasa Uwongo Wangu Kwao Mpaka Sasa Nimeshamaliza Totooz 365 Hapo!
 
Wakuu mnatisha ila nikweli mkuu mada yako wanawake wanapenda mali kuliko upendo ukiwa hauna kitu ni shidah ila ukipiga ndogo ndogo anakubali kiulaini ila naona wana matatizo hao uwezo wao wa kutafuta pesa ni mdogo wanataka mwanume awe ndie biashara kwake ukimpata mwanamke wa namna hiyo chapa alafu sepa

Kama Ulikuwepo Vile AKILINI Mwangu Mkuu...........Ebwana Nawadanganya Na Nawa HONDOMOLA Hadi Nachoka Sasa Na Huwezi Amini Wengi Wao Ninaowadanganya Na Kuwa HONDOMOLA Ni Watu Wenye Elimu, Heshima Na MITONYO Yao Hapa Town. Akhsante Mwenyezi Mungu Kwa Kutuumbia Hivi Viumbe Vyepesi Kudanganyika Ambavyo Tunavichezea Kama Remote Control Ya Tv Na Hoofer.
 
kuna mwaka 1 nikiwa milambo secondary tabora, miaka ya 90 huko, tukiwa tunajisomea kwenye ukumbi wa chakula usiku kama saa 6 tulisikia kelele za mwanamke zikitokea jikoni, tukashangaa kwani kipindi hicho shule ilikuwa ni ya wavulana tu ikabidi twende jikoni kweli tukakuta mlinzi alikuwa bize akigegeda, ikabidi mlinzi astuke manake hata yeye mwenyewe zile kelele zilimstua akawa anavaa nguo yule dada hoi, nadhani alikutana na mguu wa mtoto, sasa cha ajabu tulipomuuliza kuwa kwanini umekubali kuja shuleni hujataka upelekwe guest akadai kuwa nimeambiwa kuwa hapa ni nyumbani kwake, sasa tukajiuliza mtu aweze miliki majumba yote haya ndo akulaze kwenye mabench, nikasema kweli wanawake bila uongo humpati

mkuu hii lazima nikaiadisie hahahhahaha nimecheka sana
uwwiiiii
aiseee sisi wanawake hivi huyo dada hata kusoma hajui basi hata picha haoni kwamba kuna wanafunzi ina maana nyinyi nyote ni watoto wa MLINZI
oooh MY GOOSH MY RIBS
 
na DADA ZENU wanadanganywa hivyo hivyo.Daah! hivi akili zenu zimekaa wapi???.

Kwasababu Dada Zangu Wanadanganywa Na Wengine Hivyo Na Mimi Nawadanganyeni Sana ILI Twende Sawa! Habari Ndiyo Hiyo Mkuu.
 
Inahitajika "operation tokomeza wavulana"

Nimekupenda bure halafu hao wanajiita wanaume kila siku wanazidi kupungua kwa kuingilia utashi wetu wengi wamekuwa mtoto si riziki, wengine waliobaki kuwa marijali ndio hao marioo yaani fulu shida toto lakiume linajilegeza kama kuku wa mdondo nyambafu kabisa.
 
Waliumbwa hivyo, ukimuingia na upendo wa ukweli unammboa na atakuita king'ang'anizi ila ingia kwa hit and run uone atavyokuganda!! Tuwapende tu, ni wakwetu hawa hata awe Jemedari wa jeshi we mdanganye kuwa wewe ni mkuu wa majeshi atakukubali tu!!

Uko vizuri kwa sound mseeee
 
mi hata sijui niseme nini...anyway nafunga domo langu tu...

Hivi Si Ni Wewe Na Miss Chagga Ndiyo Niliwadanganya Hadi Nika WAHONDOMOLA? Ndiyo Maana Hujui Hata Useme Nini Kwani Uliingia KIBRA!
 
Hii discussion imenifurahisha sana hahahaha...

Na Hata Sisi Tumefurahi Kuwa Na Wewe Humu Jukwaani. Umefurahi Jinsi Tunavyowadanganya Wasichana / Wanawake Wetu Na Kuwabandua?
 
Mkuu mimi kauzu alipokuwa akiimbisha sikushika jani hata moja zaidi yakumwangalia usoni pili sikukutanae barabarani

Eeenhe Ulikutana Nae Wapi Story Haijaisha Bado Halafu Unasema Wakati Anakudodosa Ulikuwa Unamkodolea Mimacho Tu Lakini Mwisho Wasiku Umemegeka Si Ndivyo?
 
Back
Top Bottom