Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

Hivi nyie wasichana/wanawake mpoje?

Na we unatakiwa ujue kuna KUMPENDA na KUMTAMANI..........!!! Sasa we unamtamani ukamvue nguo anakustukia maana unataka kumchezea unalalamika humu.......? hakuna msaada
 
nadhani wameongelewa wasichana chini 18 ,na wadada wa kazi za nyumbani hapa , hivi mtu mzima kama mimi unidanganye urongo wa kijingajinga nakupiga maswali wawili tu unatoka Nduki , hayo mimi yule Mjomba wangu , Meli za Baba haihusu kabisa ! wewe nani na unafanya nini kama wewe !
 
Na mimi nasema wadanganywe tu, maana hakuna namna, mtu anapotongozwa kwa kuambiwa ukweli halafu anakataa mimi nasema adanganywe tu
 
Fainali haipo mbali....

Kweli mkuu, kuna mambo yanaonekana ya maana kwa muda lakini madhara yake ni ya kudumu kama sio kuangamiza kabisa.

Huyu mleta uzi anawashangaa wadada kupenda kudanganywa wakati yeye hajishangai kudanganya, ajabu sana. Inakuaje mtu ujisifie kufanya zinaa?
 
nadhani wameongelewa wasichana chini 18 ,na wadada wa kazi za nyumbani hapa , hivi mtu mzima kama mimi unidanganye urongo wa kijingajinga nakupiga maswali wawili tu unatoka Nduki , hayo mimi yule Mjomba wangu , Meli za Baba haihusu kabisa ! wewe nani na unafanya nini kama wewe !

nimeshajua swali lenyewe.
 
Kweli mkuu, kuna mambo yanaonekana ya maana kwa muda lakini madhara yake ni ya kudumu kama sio kuangamiza kabisa.

Huyu mleta uzi anawashangaa wadada kupenda kudanganywa wakati yeye hajishangai kudanganya, ajabu sana. Inakuaje mtu ujisifie kufanya zinaa?

wanawema wanakwambia umri wa miaka 40 ni umri wa utu uzima kwa kijana na miaka hamsini ni umri wa ujana kwa mtu mzima hawakukosea... vurugo zote za ujanani ni mtaji wa uzee wenye majuto kama utajaaliwa uzee!
 
We kiumbe, kwani aliyekwambia ukimtongoza mtu lazima akubali ni nani? siwezi kukubali kama sijakupenda, no kulazimishana, na hao unaowaona ukiwadanganya kwa kuwaambia ndege zote za kimataifa unamiliki wewe, usiwafananishe na wale wanawake wanaojitambua na kujithamini, wachache tupo tunajithamini.

Ukimpata huyo wa kudanganywa jua unaendesha gari bovu huku nyuma unabakwi unachekwa na rafiki zako we unaendelea ukijua sifa, kumbe umeliwa. pole.

Nyie mabinti bila kudanganywa siku zote hamwezi kumkubalia mtu,nina ushahid wa mabinti kumi na mbili ambao wote nilivyowadanya mimi ni afisa flani mahala,eti wakanipatia kibwengo chao,yena walikuwa wasomi na wenye heshima zao,sasa nawashangaa vi sistar duuh vya hapa eti vinabisha bila sababu,kama wewe unabisha hebu jiulize Uchi wako ushaliwa na wanaume wangapi na kwa bahati mbaya hata mmoja hakutoa mahali wala kukuchumbia,,,
 
Ndio maana una akili ya aina hii....vipi hakuna play station mtaani kwenu ukacheze cheze ili mawazo ya ngono yakutoke ama mama ni mkali hapendi utoke

Nna kibanda cha kukodisha cd hapa mtaan.....za kanumba, ray, wema, mzee majuto, chuck norris, jet li, ong bak, zote zipo.....ngoja mida yao ifike nijiokotee wangu wa kumdanganya. Hahahahahaha
 
Seeeh mbona umepata hasira hvo.....au na ww ni mhanga wa kudanganywa?? Usijali....na bado utadanganywa, utakubali na watakunaniliu tu.

Kwan cha ajabu kipi....kufanywa au kufanyana?.....now nimekuelewa na ndo maana unazinguliw coz kama mpaka now una think about kumfanya mtu ww ni mshamba.......siku hiz watu tunafanyana na sio kufanywa
 
Kwan mi nmesema kuna cha ajabu hapo?? Soma post yangu vzuri ndo ujibu.....sio unarukia tu km komba anarukia mnazi.
 
Kudadadeki zako mwenyewe .....tena koma uwe unatuheshimu sisi ni dada zako na mama zako
dada wewe kama hii ndiyo lugha yako,
kama una mume kazi anayo.
Kama una jamaa kwa lugha hiyo anytime anakupa red card
jitahidi uwe na flowering language.
 
Hata Wewe Huyo Shemeji Yetu Na Yeye Alikupata Kwa SUMU Hizi Hizi Za Kukudanganya Na Ukajaa Kingi AKALA Mzigo Na Sasa Kakuoa.

Umejuaje Kama Kingi Alikula Kwanza Mzigo Na Akaoa

Je, Kama Alioa Kwanza Adu Ndio Akala Mzigo...
 
Back
Top Bottom