dada wewe kama hii ndiyo lugha yako,
kama una mume kazi anayo.
Kama una jamaa kwa lugha hiyo anytime anakupa red card
jitahidi uwe na flowering language.
Lugha gani? Yey kasema kudadadeki zetu na mimi nikamwambia sio zetu ni zake.... wew unaongelea lugha gani? By the way nimeolewa na nimedum kwenye ndoa miaka 15 so nothing can happen