Sijamuomba mtu nauli ili msizani hatuna watu wakutushushia haja bali tunataka mtu sahihii.Wengi hawataki kwenda lakini nauli wanaomba. Wanaomba kwa kila mwanaume. Mwisho source of income inakuwa kuomba nauli.
Hivi unadhani watu humu masikini mpaka waombe 30 ni ndogo hiyo sanaa hununui hata pedi.Sema umetaka utumiwe nauli jamaa amechomoa mpaka ufike atakulipa.......hizo nyingine mbwembwe!
YaaniHumu unaweza anzisha uzi ukajikuta unarushiwa mi comment ya kuudhi mpaka ukahisi kama wanakuona vile,unaweza usitoke room ukadhani utakutana nao. Ha Ha Ha Ha
Akafanye mambo mengine hukoAchana na wanaume huwawezi
Ziwa Burigi Mbali sana bwasheee...........ahahahahahah wale Samaki wa miiba waleNa mara nyingi mdada ukisafirishwa kutoka mkoani ukashukia ubungo unaweza kujikuta unaishi hapo ubungo stand hata wiki 2 maana mwenyeji wako kabla hajakupokea kwanza anakupigia simu anakutazama kwa mbali, usipokidhi matarajio yake kimuonekano(hasa ukiwa flat screen) anazima simu anakupotezea na huna nauli kutoka ubungo kurudi kwenu Burigi.
😁😂🤣🤣🤣🤣ndio hicho naogopaNa mara nyingi mdada ukisafirishwa kutoka mkoani ukashukia ubungo unaweza kujikuta unaishi hapo ubungo stand hata wiki 2 maana mwenyeji wako kabla hajakupokea kwanza anakupigia simu anakutazama kwa mbali, usipokidhi matarajio yake kimuonekano(hasa ukiwa flat screen) anazima simu anakupotezea na huna nauli kutoka ubungo kurudi kwenu Burigi.
Wapi weweee aje achukue huku.Waoaji siku hizi ni adimu,mpelekee kilichomvutia
Mwache mdada wawatu usimtie majaribuniAcha ubahili
EehAcha ubahili
Mwekee mazingira ili aweze kufikaWapi weweee aje achukue huku.
Majaribu ya wapi mkuu,kazi ya ile kitu ni kupeana bila uchoyoMwache mdada wawatu usimtie majaribuni
ha ha ha kwa hiyo hutaki kuliwa kabisa
Mazingira gani?Mwekee mazingira ili aweze kufika
Tumia umbo lako na mbwembwe kumtamanisha huyo aliye mbali ashawishike afike hapo kwakoMazingira gani?