Hivi nyie wanaume mkoje?

Hivi nyie wanaume mkoje?

MysweetL

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
314
Reaction score
340
Weweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona.

Sijawahi hata kukuona kwa machooo.
Hii nikali sana .
Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,...

Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??

Watu wengine sio maboya eti jua hilooo.

Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox
 
Akuchune nani hiyo ngozi iliyokolezwa kwa mikemikali yakutosha..??
Akuue nani wakati we mwenyewe unajiua kwa kula mikemikali..?
Akuuze nani wakati bidhaa ilisha kwisha muda..??
Ahangaike nani kuuza viungo vyako wakati hata thamani umeshavidodesha kama kuku wakisasa..??

Hebu nenda kwa jamaa ukamsikilize acha uboya..😂😂
Halafu nisamehe bure dada wa watu sitaki mabango nawe mi napita tu🙏🙏🙏🙏
 
Huu ni utoto, tena bado hujapevuka kabisa, haiwezikani mambo mliyokubaliana wenyewe utuletee huku.

Nyie ndio mkikutana na mtu, mnakuja kuanzisha thread huku.

Hakukuwa na haja ya kutuletea huo upuuzi wenu ya mipango ya kuelekea kugagadana

Acha upuuzi, maliza neni huko ...

Yaani hata maana ya privacy hujui?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom