aliekatakamba-wingatereza
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 624
- 4,582
wadau mnaofunga novena huwa mnanuia nini? siouchawi kweli?
Mkuu novena unaweza kusali bila kufunga?Nvena baraka tupuu mazeee, mali nyingi nimepata baada ya mfungoo
jambo gani?Pale Mzena hospital Kuna jambo kubwa
Kuna huduma Bora za matibabujambo gani?
Upo sahihi sana, mzee wa nyumba ni CCM kindakikindaki ila kaagiza chakula kisipikwe mpaka kesho, familia nzima kaifungisha siku nzima ya leo.Mungu alishasikia maombi kabla hata ya hiyo Novena. Novena imekuja tu kuongeza nguvu kwasababu zifuatazo:
1. Wakatoliki ni watu watiifu kwa uongozi wa kanisa lao. Hivyo, wakiagizwa kufunga wanafunga kweli na kufuata maelekezo.
2. Wakatoliki ni wengi nchini kuliko Wakristo wengine. Hivyo, wanaposhiriki kwenye maombi hayo pamoja ile nia moja inaleta nguvu kubwa ya Mungu. Hivyo majibu hujidhihirisha mapema zaidi.
Kama ya aliekimbilia kwa maimamuHamna lolote subir womalize uone kama kuna lolote hakuna maombi yanyaofanywa kwa kujionyesha hiyo ni kutafuta sifa na kujionyesha
ni maombi kwa Mungu Muumba mbingu na dunia, Mweza wa yote, na mwenye mamlaka yote El-ShaddaiNovena ni nini?