Hivi ni vya kuazima au vya urithi

Hivi ni vya kuazima au vya urithi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,093
1414322376551.jpg
 
hahahaaaaaaaaa uyoyoooo hapo anafanya utafiti waviatu ama ....
 
Last edited by a moderator:
haaaaa haaaaaa kweli ukipata kitumie haijalishi kinakufaa au la
 
Hivo ni ya urithi kwa sababu hata mi nilipatakaga kikoi na kila nikifunga kiunoni basi huwa kinadondoka chini na mwisho nikapiga bei maana ni kerro tena na kutwa kuinama na hicho kitambaa cha mraba pembeni kama ufito
 
Back
Top Bottom