Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,666
- 99,361
Watu hujikita zaidi kwenye mambo wanayoyaishi kila siku(mara nyingi)kuliko yanayowatokea kwa misimu.Maneno hayana uhusiano na ngono lakini watu wamekimbilia kuwaza ngono... vijana hawa wana mchango mdogo sana kwenye maendeleo ya nchi 😅🤣😂