Hivi ni sawa kwa mwanamke kutoa siri za ndani?

Hivi ni sawa kwa mwanamke kutoa siri za ndani?

Dada kumuona mchina wa Tanzania alijua anakula mbwa pia kumbe mchina uchwara.😀😀
 
Kama bati la nyumba vile haliifadhi maji ya mvua lazima liyamwae chini ndio litulie
 
Na wewe pia umetoa siri za watu za ndani, hivyo hata wewe huna siri
 
Alikuwa anakutaka wewe ndio maana alianza kukuletea porojo nyingi
 
ndio hivyo binadamu hawana siri coz we mwenyewe kakuambia matatizo yake badala umshauri then ukae kimya umeyaleta huku JF yaani we ulioandika huu uzi ndo mmbea kupitiliza
 
Inategemea na cri gan mfano mtu kila cku kupigo na kuzalilishwa akikuambia atakua katoa cri au kuomba msaada Ata wa mawazo,
 
Mwanamke ambae yupo ndani ya ndoa mbinu yake kubwa anayoitumia ili apate kuchepuka ni kumponda mumewe hapewi haki yake, mume hana uwezo na yeye ni mwanamke, au hana msaada wowote kwake
 
Kazi kwako
 

Attachments

  • 1474870583971.jpg
    1474870583971.jpg
    73.4 KB · Views: 36
Hapo kuna mawili inawezekana huyo Mwanamke ni Muongo anataka kukutega, au na wewe kuna dalili Fulani ulishawahi kumuonyesha labda anataka kukusogeza, halaf usiamini kila asemalo mwanamke baadhi yetu WAONGO hasa tukitaka kufanikisha letu.
 
Mwanamke ambae yupo ndani ya ndoa mbinu yake kubwa anayoitumia ili apate kuchepuka ni kumponda mumewe hapewi haki yake, mume hana uwezo na yeye ni mwanamke, au hana msaada wowote kwake
KWELI UNAWAJUA, SHIKAMOO.
 
Back
Top Bottom