Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
[emoji23] [emoji23] [emoji23] !Kua mpole[emoji276] ...

Nilihisi tu utacheka[emoji1] ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] !
Ushawahi kukaa bila kucheka?[emoji276][emoji23] [emoji23] [emoji23] !
Wakuu,
Habarini za jumapili!
Leo baada ya kutoka kanisani, nikaona ni bora niende ofisini kwangu nikapunguze baadhi ya kazi nilizonazo.
Sasa kuna mwanadada mmoja ambaye tunafahamiana akawa amenipigia simu kuniomba mchango kwa ajili ya sherehe ya mwanae ambaye anategemea kubarikiwa (kupata kipa imara). Nikamwambia aje ofisini ili kuchukua huo mchango.
Mara baada ya kufika, nikampatia mchango wangu. Sasa akaanza kuongea maneno mengi, mara hii sherehe naibeba mimi mwenyewe wala mme wangu hana habari yoyote na hana mchango kabisa, yeye ni kulewa pombe tuu na hanisaidii kitu chochote. Mara anadai kama isingekuwa watoto mi tungeachana miaka minne iliyopita.
Mi nikamwambia vumilia tu ndoa ndivyo zilivyo, ipo siku atatulia tu.
Mara akaniambia kuwa, hata sasa ni kama tumeachana, nikamuuliza kwa nini? Akaniambia kuwa hawalani mbunye (no kugegedana), ingawa wanalala chumba kimoja kila mtu kitanda chake kwa muda wa miaka minne.
Wanawake si rahisi kutunza siri za ndani!
Yaani jamaa anachezea bahati aiseeee...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Anakufikishia ujumbe huyo....
Braza yani ungechangakia fursa pale pale
TehYaani jamaa anachezea bahati aiseeee...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huyo mbuzi alidondokea right on front of the knife....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
jiongeze mdau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ananifikishia ujumbe gani scorpio me
Wakuu,
Habarini za jumapili!
Leo baada ya kutoka kanisani, nikaona ni bora niende ofisini kwangu nikapunguze baadhi ya kazi nilizonazo.
Sasa kuna mwanadada mmoja ambaye tunafahamiana akawa amenipigia simu kuniomba mchango kwa ajili ya sherehe ya mwanae ambaye anategemea kubarikiwa (kupata kipa imara). Nikamwambia aje ofisini ili kuchukua huo mchango.
Mara baada ya kufika, nikampatia mchango wangu. Sasa akaanza kuongea maneno mengi, mara hii sherehe naibeba mimi mwenyewe wala mme wangu hana habari yoyote na hana mchango kabisa, yeye ni kulewa pombe tuu na hanisaidii kitu chochote. Mara anadai kama isingekuwa watoto mi tungeachana miaka minne iliyopita.
Mi nikamwambia vumilia tu ndoa ndivyo zilivyo, ipo siku atatulia tu.
Mara akaniambia kuwa, hata sasa ni kama tumeachana, nikamuuliza kwa nini? Akaniambia kuwa hawalani mbunye (no kugegedana), ingawa wanalala chumba kimoja kila mtu kitanda chake kwa muda wa miaka minne.
Wanawake si rahisi kutunza siri za ndani!
NdJiongeze Mimi naona aikuwa busara kukueleza matatizo yake ofisini kama vipi angekutafuta labda kwa ushauri siku nyingine
Hata ukija wewe kuomba mchango wa kitchen party, nakuchangia!alittaka tu didu yako walka hana shida yoyote ,mwanaume mzima unachangia kipaimara?
Ohooooo.....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]alittaka tu didu yako walka hana shida yoyote ,mwanaume mzima unachangia kipaimara?
aya nakujaNd
Hata ukija wewe kuomba mchango wa kitchen party, nakuchangia!
Namshangaa jamaa...Yaani jamaa anachezea bahati aiseeee...[emoji12] [emoji12] [emoji12]