Hivi ni sawa kwa binti wa kilokole au wa kiislamu kuvaa suruali?

Wewe ndo ujiheshimu,kwani Mimi ndo nilikutuma uandike Uzi wa kupiga puli???? Wewe vipi wewe wewe tahira nini???!!!
Kupiga puli wewe inakuhusu nini au umewashwa nini. Tahira ni wewe mwenyewe unayetoka nje ya mada na kujadili vitu vingine. I perceive hata ufaulu wako darasani ni wa mashaka
 
Bado nyege zinakusumbua,sasa ufaulu wa darasani wewe umekusaidia nini mpaka hapo???? Kwani umewahi kuwa T.O???? Comb yenyewe uliyosoma H.K.L afu unatupigia Kelele,kapige puli upunguze nyege wewe
 
Kama hainihusu,inakuaje mtu mzima tena umeokoka unakuja kufungua Uzi eti ooo siku hizi nimeacha puli glory to God!!! Unamuhusisha Mwenyezi Mungu na upumbavu wako wa kupiga puli??? Mbweha wewe
 
Hahahahaha eti HKL, ungejua ungekaa kimya. Hahahahaha
 
Kama hainihusu,inakuaje mtu mzima tena umeokoka unakuja kufungua Uzi eti ooo siku hizi nimeacha puli glory to God!!! Unamuhusisha Mwenyezi Mungu na upumbavu wako wa kupiga puli??? Mbweha wewe
Ni waliookoka na wacha Mungu tu ndio huweza kuacha mambo yamchukizayo Mungu. Kwa kutegemea akili zako hawezi acha mambo yakuleteayo hatia ndani yako. Pengine ninaurgue na mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujenga hoja
 
Acha puli kijana wangu,mlokole gani unapiga puli
 
Wanaogopa wakianguka wasionekane maungo yao ya ndani.

Pia wakikutana na wahuni isiwe rahisi kuwabaka. Hivo tuu.
 
Biblia kutoka kitabu cha kumbukumbu la torati inasema; Kumb 22:5 "“Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Kumbukumbu la Sheria 22:5 BHN
Kumbukumbu la Sheria 22:5 BHN; “Wanawake wasivae nguo za wanaume, na wanaume wasivae nguo za wanawake. Anayefanya hivyo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
bbffdf93c7707c52277ddc11ed8b939f.jpg
We jamaa huwaga ni mnyama sana kwenye mambo ya bible
 
Wape kumeandikwa siruali ni za wanaume na magauni pamoja na sketi zikawa za wanawake? Nipe aya au toratti kama ushahidi.
 
Habari zenu great thinkers,

Naomba kujua biblia na Quran zinasemaje kuhusu mtoto wa kike kuvaa mavazi ya kiume kama suruali.

Ahsante,cheers!
Ulishawahi kujiuliza kwa nini, ukikuta mchungaji ameita watu kuwaombea, mfano wakatoka wanaume kumi na wanawake kumi, kati ya hao utakuta wanawake 6-9 wanadondoshwa na mapepo (yaani wako possesed na demonic power) na wanaume anaweza asiwepo au wakawepo wawili hadi watatu. Ushawahi kujiuliza why?
 
Hiyo sijui naomba unifahamishe kwa nini inatokea?
 
Mnajifariji kwa suruali kuwa eti hizi za kike, mahereni, manywele ya wafu, wa makeup ambayo hata hamjui yanatwengenezwa kwa kutumia nini, lipshine mnaita. Hizo ni dhana pendwa za yule muovu or kiujumla urembo unawacost. Kama wewe umeokoka, tafta kujaa roho mtakatifu wa kweli halafu muulize kuhusu hayo madudu usikie atakachokuelekeza.
 
Nimekupata hapo mkuu,nimeongeza kitu Leo kupitia wewe, cheers!!!!
 
Kwa upande wangu naona suala hili limekaa kiutamaduni zaidi wa eneo husika,hii ni kutokana kua kuna maeneo mengine unachoona wewe ni dhambi kwa mwingine sio dhambi.
Kwa mfano kuna nchi wanaume wanavaa sketi,joho au msuli LAKINI pia kuna nchi wanawake wanavaa sketi au joho.
KWA HIYO HII INAITWA DHAMBI KUTOKANA NA UTAMADUNI WA ENEO HUSIKA.usiwe kwazo kwa wengine.....
Marekani na Ulaya kwa mwanamke kuvaa suruali ya like sio dhambi kabisa,hata hapa bongo kuvaa suruali ya like kwa baadhi ya maeneo ishu kubwa,INAPENDEZA MWANAMKE AVAE SURUALI INAYOMSITIRI MAUNGO YAKE.
Lakini mwanamke akivaa suruali maeneo wanayokataza mfano kanisani,msikitini n.k hapo anakuwa amefanya dhambi ya kuwakwaza wengine.
Kama mwanamke akavaa suruali ya Mme wake hapo anakuwa amefanya dhambi ya kuvaa mavazi ya wanaume.
Kwa kufupisha mi naona hakuna dhambi ya moja kwa moja eti kisa mwanamke amevaa suruali ya kike..
Huu ni mtazamo wangu.....
 
Back
Top Bottom