Hivi ni sawa kumficha mpenzi wako baadhi ya mali unazomiliki?

Mpenzi wako anasifa gani ya kumueleza kila kitu unachomiliki sana sana wewe mwanaume uwe unatumia mali zako ili umnase huyo kuku wa kienyeji wako yy anachotakiwa asiwe mvivu wa kutafuta wasifu wa mpenzi wake, kama ni gari analiona na kama ni maskani kwangu anapaelewa na vitu nilivyonavyo anaviona, kuna haja gani ya kumwambia kila kitu labda kama ni utapeli wa mapenzi sawa utamueleza mangi ya uongo ambayo hata wanawake wengi wanapenda kudanganywa ambayo ndo raha kwao!
 
Back
Top Bottom