Hivi ni sawa kisa mimba utake kuhamia kwa mwanaume

Hivi ni sawa kisa mimba utake kuhamia kwa mwanaume

kamuwahi patamu hapo..manake jamaa angekuwa free home anajiingizia wanawake wengine,huku yeye anahangaika na mimba yake!
 
Sasa nani amtunzie hio mimba ?, Unless kama ana mashaka na mmiliki wa hio mimba
 
Mimba wapeane wawili halafu matunzo na changamoto azipate peke yake????
 
mapenzi + ngono zembe = mimba
Kisa + chanzo = mwanaume
Kafanya vzr sana wateseke wote na hio mimba
 
Kila mtu atachunga msalaba wake mwenyeweee
 
Halafu hii kitu najiulizaga sana. Naanza kupata majibu.
 
Back
Top Bottom