Hivi ni sahihi?

mamkuu5

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
1,139
Reaction score
721
Tunakaa kota jirani yangu mmoja alinifata kunilalamikia juu ya jirani yetu mwingine,wakiwa wanaduu na mumewe wanaskia sauti za mahaba,ananiomba ushauri kama amwambie au la!mimi nimeona kumwambia sio sawa niuswahili kwani hayo ni mambo ya nyumbani kwao ,nisaidieni jinsi ya kushauri hili minaona nitendo la aibu kuongelea na mhusika
 
Hivi kweli tatizo ni mfumo wa elimu usiokuza fikra za wanafunzi au tatizo ni wanafunzi wenyewe hawataki kukuza fikra zao kwa kutumia elimu kama fursa?
 
Kwani nanyi msipige raha zenu....????
 
Na yey si apige???

Anyway umbali kati ya nyumba moja na nyingine ukoje???
 
Mwambie kama kelele shida ahame hapo atafute wasiopiga kelele za mahaba.
 
Duuh..Halafu ukute jirani ana watt wadogo..Hizo kelele zikianza watt ndo wanatega masikio kwa makini hawana habari..
 
Duuh..Halafu ukute jirani ana watt wadogo..Hizo kelele zikianza watt ndo wanatega masikio kwa makini hawana habari..

.duuh!!! Mkuu umewaza mbali hasa ukiwa na watoto wa miaka 12+ lazima wakasimuliane shule, aibu kweli kweli..
 
.duuh!!! Mkuu umewaza mbali hasa ukiwa na watoto wa miaka 12+ lazima wakasimuliane shule, aibu kweli kweli..

Hhhhaaa kweli kabisa
Na watoto wakidigital watafanya na vitendo kabisa
Watoto wa sikuiz miaka kumi mingi tayari kashajua mambo ya kikubwa duu
 
Na aambiwe tuu hatuko Ulaya tuko Tz ustaraabu , tamaduni na hekima izingatiwe wataawaribieni watoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…