Hivi ni sahihi mke kuvalia nguo na kuweka vitu chumbani kwa wadogo zako?

Hasa kwani inakuwaje hadi ahame hii mpya Sasa au Kuna namna huwa mnagombana na ulishakaa chini kuuliza nyumba Zina mambo mengi sana
 
{Mods naomben mnisahishie hapo kwenye heding badala ya zako weken zake} aya twende kwenye mada: Yaan ile umejenga nyumba wewe mwanaume umeoa na umeruhusu kukaa na shemeji zako baada ya muda mrefu mke anaanza tabia ya kuhamisha vitu vyake chumbani kwenu na kuvipeleka chumbani kwa wadogo zake na anapoenda kazini asubuh akioga anavalia chumba cha wadogo na akirudi vitu anaacha hukohuko, mfano ndio wewe ni mkeo anafanya hayo unachukua uamuzi gani? Au itakuwa ni sahihi kwako
Fanya namna wadogo zake waondoke ukishindwa kula wadogo zake
 
Sa unataka JF wakusaidieje yan ujinga wako na uzembe wako wa kumhoji mkeo kwann anafanya ivyo unakuja humu kutafta msaada unataka chapati nn

Watu km nyie ndo mnafanya wanaume tuonekane hamnazo nani watu wa malalamiko kumbe ujinga ni wako mwenyewe

Uyo ni mkeo na hao ndugu zake ww ndo umewakaribisha na uyo mkea anajua anandoa na hao shemeji zake wanajua kaolewa so udhaifu wako na ujinga wako kaa nao na atakuletea bwana atakwambia ni mdg wake na atakua anamkula kla sku
We ni bushoke kabisa
 
hebu muwekee dressing table yenye mahitaji ya mwanamke na utakua umetibu hiyo shida ๐Ÿ’

kule anafata lipstick ๐Ÿ’„ and shines za rangi anazopenda coz wadogo zake wanazo kama zote wamenunuliwa na ma boyfriend zao, mafuta mazuri ya kupaka, pafyumu zinazonukia vizuri, kurekebishwa nywele na saa zingine ana vaa ata nguo na viatu vya kisasa za wadogo zake kwasabb labda umekosa kumuwezesha nae awe nazo....
Lakini pia zile nguo zake anaziacha kule wadogo zake wanamsaidia wanamfulia ๐Ÿ’

so,
My friend,
rekebisha hiyo tu, hutamuona tena huko kwa wadogo zake. Mambo mengine haitaki maneno ni vitendo kidogo tu ๐Ÿ’
Wewe ndo mmbulu mwenye akili hapa JF
 
Kwasababu akili hawana.
Kabisa uko sahihi binti swala dgo tu km hili kweli unakuja kuomba msaada humu ilitakiwa na wewe unahamishia nguo zako huko bila kumuambia chochote mnakutana tu wakat wa kubadilisha
 
Back
Top Bottom