Hivi ni sahihi kuanzisha kanisa unapohisi una upako?

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Jaman, Asalaam aleikhum wale waislam na Tumsifu yesu kristo kwa wale wakristo mimi swali langu ni je?

Kama ni sahihi kuanzisha kanisa lako pale unapojihisi una upako wa roho mtakatifu?

Kama ni Yes je siku ya hukumu tutahukumiwa kwa imani zetu au kwa imani zetu na madhehebu yetu piaa kumekua na wimbi kubwa la watumishi ambao wanajiita watumishi wa Mungu mimi siwezi kusema ama ndio ama sio lakini maandiko yanasema

JIHADHARINI NA MANABII WA UONGO
Maana siku za mwishi watakuja wengi wakijiita manabii,

Naona sasa kuna watu wanachukua advantage ya ujinga wa watu fulani kama Fursa pia.
 
Agizo Kuu kwa kila mkristo ni kutangaza injili

Mathayo 28

18.Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19. Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20. Na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

hii ndio sababu kubwa ya kumhubiri Yesu kwa mataifa yoote.

Mahubiri yanapaswa kujikita katika kuwahimiza wanadamu kuziacha njia zao mbaya na KUACHA DHAMBI na sio kuwahubiri kuhusu mafanikio ya kimwili na uponyaji pekee.

I'll be back!
 
The Bible

the Bible comands all of us to preach the Gospel to all creation. unatakiwa kuhubiri injili kwa kila kiumbe. lakini kuhusu kufungua kanisa, hakikisha Mungu amekuagiza ufanye hivyo, la sivyo utaenda peke yako. kila mtu, ukiachilia wito mkuu wa Mathayo 28 na 29, amekuja hapa duniani kwa mission fulani, Mungu ndiye atakuelekeza kwenye mission hiyo kwa utukufu wa Jina lake na kwa manufaa ya ufalme wa Mungu. ukijituma kuwa mchungaji au mwinjilist, huwezi kustahimili utakayokutana nayo kwasababu utaenda peke yako. ukiona una upako, hiyo ni opportunity ya wewe kuwa upo karibu na Mungu, ongea naye basi si upo karibu naye, akuelekeza yakupasayo kufanya hapa duniani.that's your very opportunity.
 
Agizo Kuu kwa kila mkristo ni kutangaza injili

Mathayo 28

18.Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19. Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20. Na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

hii ndio sababu kubwa ya kumhubiri Yesu kwa mataifa yoote.

Mahubiri yanapaswa kujikita katika kuwahimiza wanadamu kuziacha njia zao mbaya na KUACHA DHAMBI na sio kuwahubiri kuhusu mafanikio ya kimwili na uponyaji pekee.

I'll be back!
Kwa kifupi;
1. Ukihubiri mafanikio pekee ni imani potofu
2. Ukihubiri dhambi pekee nako umepungukiwa

Kwa kifupi injili sahihi ni kuhubiri mafundisho sahihi na sio kukwepa mengine.

1. Onya, kemea
2. Tia moyo
3. Karipia
 
Lengo la Injili ni watu wamjue MUNGU WA KWELI na KUACHA DHAMBI.

Mambo ya mafanikio Chris Mauki atakufundisha
 
Jaman, Asalaam aleikhum wale waislam na Tumsifu yesu kristo kwa wale wakristo mimi swali langu ni je?

Kama ni sahihi kuanzisha kanisa lako pale unapojihisi una upako wa roho mtakatifu?

Kama ni Yes je siku ya hukumu tutahukumiwa kwa imani zetu au kwa imani zetu na madhehebu yetu piaa kumekua na wimbi kubwa la watumishi ambao wanajiita watumishi wa Mungu mimi siwezi kusema ama ndio ama sio lakini maandiko yanasema

JIHADHARINI NA MANABII WA UONGO
Maana siku za mwishi watakuja wengi wakijiita manabii,

Naona sasa kuna watu wanachukua advantage ya ujinga wa watu fulani kama Fursa pia.
Unaweza kunzisha

tambaa kwenye footsteps za gwajiboy
 
Idadi ya makanisa lazima iendane na idadi ya Bar na Grosari zilizojaa mitaani.

Idadi ya madhehebu lazima izidi idadi ya viwanda vya bia na pombe kali.

Kitoko
Cucer
SmartG
Double Kick
KVant n.k
 
Back
Top Bottom