Hivi ni nini wanaume kutamani kuwa wanawake?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Tunaambiwa Mungu alimuumba Adam (mwanaume) kwanza ndipo akamuumba Eva (mwanamke), tukiacha MASHOGA pana marehemu Michael Jackson alibadilisha sura yake ionekane kikekike hivi, sasa nasikia Mike Tyson yeye kabadilisha mashine kabisa.
Nadhani pana wengi tu wanaume wanatamani U-Eva hapo ndipo najiuliza sasa kulikoni WANAUME???????????
 
Hapo nafikiri hakuna ukweli wowote labda kama kuna utafiti uliofanyika kuthibitisha maneno yako na labda katika hizo nchi zilizoendelea.
 
[/B][/I]Hapo nafikiri hakuna ukweli wowote labda kama kuna utafiti uliofanyika kuthibitisha maneno yako na labda katika hizo nchi zilizoendelea.
Ndio maana nimetumia neno NADHANI.
 
Hapa napita tu!

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Wanaona Tunafaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! sana , haya karibuni muone tunavyofaidi.
 
Tunaambiwa Mungu alimuumba Adam (mwanaume) kwanza ndipo akamuumba Eva (mwanamke), tukiacha MASHOGA pana marehemu Michael Jackson alibadilisha sura yake ionekane kikekike hivi, sasa nasikia Mike Tyson yeye kabadilisha mashine kabisa.
Nadhani pana wengi tu wanaume wanatamani U-Eva hapo ndipo najiuliza sasa kulikoni WANAUME???????????

Qa wanabaiologia wanajua kuwa kiumbe cha mwisho katika evolution ni mwanadamu wa kike!
Wanaume walio wanawake wanatamani evolution iendelee qao.

Ufafanuzi wa Bazazi!
​
 
Qeli kabisa mnafaidi hasa la
mazoezi ya simba kila mwezi pale kinesi!

Bazazi!

Nyambafffffffuuuuuuuuuuuuuuuu! zako!!!!!!!! Mngekuwa hatuonei wivu mngejibadili???????????????????
:target::target::target:
 
wanapenda kubinuliwa kama samaki hao,wanahisi wanawake wanafaidika sanaaaaaaaaaaaa ya nini kumkosoa muumba wako aliona una nguvu za kuitwa baba fulani we wataka uitwe mama fulani,ulimbukeni wa maisha tu.
 
Nyambafffffffuuuuuuuuuuuuuuuu! zako!!!!!!!! Mngekuwa hatuonei wivu mngejibadili???????????????????
:target::target::target:

Qe qe qe qeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Lisa Mbavu zangu!

Wanalazimisha evolution hao!

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Ish! Hovyo kabisa, na ww unatamani nn na hivyo unapima upepo humu MMU.
 
Back
Top Bottom