Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Wadau nashauri kwanza kabisa tuwatambue walioandaa mikataba ya makampuni ya uchimbaji madini kusafirisha michanga.Baada ya kuwajua watueleze Taifa lilikuwa linapata nini mchanga ukisafirishwa Na ukisafishwa kule nje ya nchi.Majibu yao yatatusaidia kujua cha kufanya.