Ndugu wana JF tumekuwa tukilaumu saana serikali yetu kwa mambo mbalimbali nakujiaminisha kabisa kuwa sasa ni wakati muafaka wa kukitoa Chama Tawala Madarakani. Nimekuwa nikijiuliza na hatimaye nikaona ipo haja ya kuileta hoja hii jamvini. Tukiitoa CCM madarakani, nani anafaa kuchukua madaraka kama Rais wa Tz. Anatoka Chama gani? Ameifanyia nini nchi yake? Je ni msafi? Hana kashfa au ufisadi wa aina yoyote? Si mbaguzi? Au nani anamfano wa watu wachache wazalendo wanaoweza kuongoza nchi yetu. Kwa maoni yangu naona hakuna mbadala katika kizazi cha sasa. Labda tuwaandae watoto wetu. Tukae kimya tujipange kwa miaka ijayo. Kwa sasa tukemee ufisadi. Nawakilisha!
Nadhani inawezekana kabisa hufaham tafsiri ya udaku. Nadhani kuna ukweli ndani yake. Mawazo lazima yatofautiane. Ukiweza thibitisha kama ni udakuHuu ni udaku nadhani hapa si pake jamani tuleteni hoja za maana hapa mbona siku hizi kila kitu kinajirudia rudia tuuuuuuuu???
Kwa maoni yangu naona hakuna mbadala katika kizazi cha sasa.
Labda tuwaandae watoto wetu.
Tukae kimya tujipange kwa miaka ijayo. Kwa sasa tukemee ufisadi. Nawakilisha!
bnhai,
Naamini umeuliza maswali yako kwa roho nzuri kabisa. Kwa maoni yangu tatizo si personalities. Jambo la kujiuliza ni nani atakayeisaidia Tanzania kujenga strong institutions zitakazozimamia kasoro zilizojitokeza zilizopelekea kukithiri kwa rushwa. Mwalimu Nyerere alianza vizuri kwa kuwawekea viongozi miiko ya maadili. Mwinyi akaingia akaiua hiyo miiko pamoja na azimio la Arusha. Nadhani hapo ndipo tunaweza kuanzia. Kwa mtazamo wangu, turudishe miiko ya uongozi. Tuimarishe sheria juu ya rushwa na kuhakikisha vyombo simamizi vina meno ya kupambana na wala rushwa bila kuwaangalia nyuso zao. Baada ya hapo tuunde timu ya Ukweli na Upatanishi na kila mtu anayetuhumiwa kuhusika na ufisadi apelekwe pale ili tujue mizizi ya ufisadi iivyoanza tuweze kuing'oa. Tusimwonee yeyote aibu. Ni kumkoma nyani giladi tu na let the chips fall where they may. Badala ya kutafuta personalities tutafute mwongozo utakaotutoa hapa tulipo. Baada ya hapo ndipo tuseme Sikonge anaweza kusaidia hiki na hiki na Bubu ataka Kusema hiki na kile etc. etc. It can be done. Yes, we can!
bnhai,
Naamini umeuliza maswali yako kwa roho nzuri kabisa. Kwa maoni yangu tatizo si personalities. Jambo la kujiuliza ni nani atakayeisaidia Tanzania kujenga strong institutions zitakazosimamia kasoro zilizojitokeza zilizopelekea kukithiri kwa rushwa. Mwalimu Nyerere alianza vizuri kwa kuwawekea viongozi miiko ya maadili. Mwinyi akaingia akaiua hiyo miiko pamoja na azimio la Arusha. Nadhani hapo ndipo tunaweza kuanzia. Kwa mtazamo wangu, turudishe miiko ya uongozi. Tuimarishe sheria juu ya rushwa na kuhakikisha vyombo simamizi vina meno ya kupambana na wala rushwa bila kuwaangalia nyuso zao. Baada ya hapo tuunde timu ya Ukweli na Upatanishi na kila mtu anayetuhumiwa kuhusika na ufisadi apelekwe pale ili tujue mizizi ya ufisadi iivyoanza tuweze kuing'oa. Tusimwonee yeyote aibu. Ni kumkoma nyani giladi tu na let the chips fall where they may. Badala ya kutafuta personalities tutafute mwongozo utakaotutoa hapa tulipo. Baada ya hapo ndipo tuseme Sikonge anaweza kusaidia hiki na hiki na Bubu ataka Kusema hiki na kile etc. etc. It can be done. Yes, we can!
Asante kwa uchambuzi mzuri lakini suali la msingi kwa sasa tukitaka kuunda nani yupo wa kuziendesha katika kipindi hiki cha mpito? Maana system nzima imeoza na watu wengi hata wenye heshima zao sasa hivi wanatuhumiwa. Tunaanzeje. Nadhani hii inatusaidia kuona tunaundaje serikali bila ya kuwaza vyama uchwara vya siasabnhai,
Naamini umeuliza maswali yako kwa roho nzuri kabisa. Kwa maoni yangu tatizo si personalities. Jambo la kujiuliza ni nani atakayeisaidia Tanzania kujenga strong institutions zitakazosimamia kasoro zilizojitokeza zilizopelekea kukithiri kwa rushwa. Mwalimu Nyerere alianza vizuri kwa kuwawekea viongozi miiko ya maadili. Mwinyi akaingia akaiua hiyo miiko pamoja na azimio la Arusha. Nadhani hapo ndipo tunaweza kuanzia. Kwa mtazamo wangu, turudishe miiko ya uongozi. Tuimarishe sheria juu ya rushwa na kuhakikisha vyombo simamizi vina meno ya kupambana na wala rushwa bila kuwaangalia nyuso zao. Baada ya hapo tuunde timu ya Ukweli na Upatanishi na kila mtu anayetuhumiwa kuhusika na ufisadi apelekwe pale ili tujue mizizi ya ufisadi iivyoanza tuweze kuing'oa. Tusimwonee yeyote aibu. Ni kumkoma nyani giladi tu na let the chips fall where they may. Badala ya kutafuta personalities tutafute mwongozo utakaotutoa hapa tulipo. Baada ya hapo ndipo tuseme Sikonge anaweza kusaidia hiki na hiki na Bubu ataka Kusema hiki na kile etc. etc. It can be done. Yes, we can!
Jamani hao waliomadarakani wanasema walijiandaa kwa miaka 10. Honestly hoja zetu zinapelekwa na upepo. Leo likitokea la dini wana JF wanasambaratika na kuanza kukashifiana wao kwa wao. Mara ikiibuka ishu nyingine tunapoteana mpaka upepo utulie hakuna lilieleweka. Wengine wakiamini kabisa wenzao wametumwa pale wakiona mawazo hayafanani au wakipewa changamoo. Mie nadhani nilazima kuwa na watu wakutusemea kama tunawaamini. Tujiwekee malengo na tujipime kwa malengo. Labda nitoe mfano wa kwanini nina mashaka. Nilikuwa ninamwamini saana mh Jaji Warioba lakini hivi karibuni naye amekuwa akitajwa kwenye Tangold. Hapo ndio mashaka yanaongezeka nani tumkabidhi nchi yetu? I stand to be correctedWasafi wengi tu bwana!kama huna hoja ya msingi tuondokee hapa bwana!we bnhai vipi?
Asante kwa uchambuzi mzuri lakini suali la msingi kwa sasa tukitaka kuunda nani yupo wa kuziendesha katika kipindi hiki cha mpito? Maana system nzima imeoza na watu wengi hata wenye heshima zao sasa hivi wanatuhumiwa. Tunaanzeje. Nadhani hii inatusaidia kuona tunaundaje serikali bila ya kuwaza vyama uchwara vya siasa