Hivi ni mimi tu au?

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
118
Nimeshazoea nikitoka kazini kama nitakuta umeme umekatika najua saa ngapi ni muda wa kurudi. Na kama nitaukuta umekatika pia najua ni saa ngapi utakuwa umerudi. Hivi sasa ni mzoea na nashangaa kwani leo toka nitoke kazini, mida ya saa kumi na moja mpaka sasa hawajakata umeme. Naota ama ni kweli hata sielewi. Pls Tanesco kateni bwana, tumezoea wenzenu tunasubiri ukirudi ili tushangilie
 
Hata mwenyewe nimeshangaa, wanaboa bwana, kwanza mitaa inaumiza macho.
 
Hii sio bure. mimi nahisi wewe zio mzima. haiwezekani wewe unaombea umeme ukatike wakati wenzako wanaomba umeme usikatike
 
Absolutely! You are real Tanzanian unajivunia shida zako!
Hata kama hazipo.
 
unaishi kijichi nini? Maana huko kila siku lazima wakate. Hamia huku mjini bana
 
unaishi kijichi nini? Maana huko kila siku lazima wakate. Hamia huku mjini bana

badili tabia nawe waishi Kijichi? Yani huku mpaka 2mezoea, hapa washakata, mana 2najua ratiba zao, mpaka najiuliza mgao upo huku Kijichi tu au? Mana nikienda Kinondoni conagi ukikatika ovyo.
 
badili tabia nawe waishi Kijichi? Yani huku mpaka 2mezoea, hapa washakata, mana 2najua ratiba zao, mpaka najiuliza mgao upo huku Kijichi tu au? Mana nikienda Kinondoni conagi ukikatika ovyo.

niliishi huko zamani, vilevile nimejenga huko. Najua shughuli yake, mfano nimekuja kufika hapa ccm nimeambiwa wamekata umeme toka asubuhi........

Nina mpango nikimaliza ujenzi niipangishe tu nyumba, hela nitakayokusanya nilipe kodi huku....

Sijui tanesco wana mpango gani na kijichi kwa kweli.....
 
yaani mpaka kero, ngoja na ce 2fanye mpango wa kuhama, bora upangishe, au la ununue generator
 
Back
Top Bottom