ish!
kumbe bado nakua!
wanaume nao huwa wana heat periods!(usikasirike bana)
najaribu tu kuwaza!
hv lakin ngoa niulize swali lingine na wanaume huwa mnafake mdiso? Kongosho na Kaunga njooni malovees kuna muda ni nyie tu ndo huwa mnaweza kupress down my evil mind! (depends kuwa wakati huo mnakuwa kwenye urazini kiasi gani!)
ish!
kumbe bado nakua!
wanaume nao huwa wana heat periods!(usikasirike bana)
najaribu tu kuwaza!
hv lakin ngoa niulize swali lingine na wanaume huwa mnafake mdiso? Kongosho na Kaunga njooni malovees kuna muda ni nyie tu ndo huwa mnaweza kupress down my evil mind! (depends kuwa wakati huo mnakuwa kwenye urazini kiasi gani!)
yamekuwa ya heat period tena.
ahahahhahahhahahhahaah juice ya maperaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMie kanichanganya kabisa, eti hana hamu huku nyumbani anaendeleza tu.
Sasa huko asiko na hamu ni wapi wakati home anapata kila siku?
Siku hizi wanafekisha na wao, anajimwagia juisi ya mapera ya azam :help:
si ndio na mi nashangaa!yamekuwa ya heat period tena.
basi mi ni m2 wa ajabu.
heheheheee viroja hivi, mie naweza itazama tofauti. Hiyo inaweza kuwa inasababishwa na hulka na tabia ulizojijengea kipindi fulani na mwili ukazi adopt na mwisho unakuja jistukia mwili unareact hivyo. Mfano yaweza kuwa wakati unasoma chuo ndo ulikuwa na nafasi ya ku do na mschana wako/girfriend na may be vyuo vinafunguliwa from august na baada ya hapo mnakuwa busy na shule as from January shule inakuwa imepamba moto na mnakwepa sup na kukamilisha course work.
Mtirriko huu kama uliufanya kwa miaka 3 hadi 5 au 7 kwa madaktari basi inaweza kuwa au ni rahisi akili yako kujengeka kuwa huwa unaenjoy sex kipindi ambacho chuo kinakuwa kimefunguliwa na stress ya shule haijaanza na stress ya chuo ikianza kuhusu masomo basi hata kama unasex huinjoy kama unavokuwa free as a molecule. Na inawezekana hali hiyo ndo imekuletea effect hadi sasa ukiwa umeshaoa na nyumba yako.
Ni mtazamo wangu tuu baada ya kuwaza sana ikikuletea shida sana waone matabibu