Hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine mmeshawahi kupitia?

Hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine mmeshawahi kupitia?

Amen, MOLA akupe Roho ya kuvumilia na kujishusha katika wakati mgumu ulio nao...tambua tuu Sisi wanaume tupo Territorial sana hatupendi tunapokuwa kwenye nyakati ngumu tuonekane kama mzigo au kutojaliwa cause ya maradhi au mapungufu yetu ndani ya Familia...MOLA atakuongoza na kukujalia Rehema zake na yote hayo yatapita.
Amin
 
pole mamy anatatizo la kisaikolojia kama unausafiri jitahidi maeneo anayoweza kukusindikiza unaenda nae mtoe out kiaina .. kinachomsumbua anajua hawezi kukupa vitu tena na anahisi wewe unaweza tafuta mtu wa kumsaidia ni kipindi tu atarudi kwenye hali yake ya kawaida .. jitahidi kuwa naye karibu mnoo.. mengine kuwa mtundu tu na kuwa muwazi kwake jiongezeni.......

ningeshauri mengine lakini mmmh we kama inasimama hata kidogo duh me dah
Kutoka nae ni ngumu kwa kweli maana tangu afanyiwe upasuaji hata mwezi bado na nile hali ya ajali nahisi kaibisa akiwa kwenye gari ni kama anaweweseka, ooh mara punguza mwendo, Subiri kwanza paki upumzike n.k kiufupi ile hali haijamtoka,tunatumia muda mwingi tumtoapo nyumbani kumpeleka hospital kwa ajili ya regular checkup,hivyo kumtoa outing ni ngumu mno
Kimahusiano Hakuna mawasiliano kwa sasa, japo naamini ipo siku yatakua sawa
 
Pole sana kwa kuuguza! Mshukuru Mungu kwa kumueka hai mumeo.
Kama mwanaume lazima atajisikia vibaya kwa hali aliyonayo. Anaona amekua tegemezi na unaweza mwacha. Hali hiyo ni ya kawaida, unachopasa kufanya ni endelea kumuonesha kwamba unampenda na kumjali saana. Epuka kufanya kitu kitakachomfanya awe na wasiwasi juu yako. Wasiliana nae mara kwa mara ata kama upo mbali na usimruhusi awe na huzuri atapata depression.
Ni kipindi kigumu sana ila Mungu akupe nguvu na amponye mumeo.
 
Amin,nashukuru sana kwa maneno yako
 
Labda itanisaidia, hebu nifungue akili kidogo maana imeganda kwa sasa
kuwa na utani na mahaba ya hapa na pale .. kwa mfano kama ulikuwa unamtekenya unaendelea . kumchezea ndevu usiache ,, au kama ulikuwa unasafisha kwa babu endelea kkufanya massage yani mpambe pambe as if bado ni mzima... sms nzuri yani mpe mahaba yale yale tu .. najua kupiga inaweza kuwa ngumu ila kama anaweza kujishikiza fanya nae pole poleila omba ushauri wa daktari kwanza ,.. ila romance ichukue nafasi kubwa zaidi
 
Kuna muda wa utani na muda wa hali ngumu, mpaka nimesema hapa ujue ninateseka sana kisaikolojia hasa maneno na action za mwenza wangu,hata mwezi bado naona hana imani tena
usimtreat kama mgonjwa wa kiivyo endelea na mbwe mbwe zako kama kawaida halafu umwachie yeye.. usitoke bila kuaga mwambie babay naenda kuchukua pesa au baby naenda sokoni kama unaweza kumtuma mwingine fanya hivyo
 
Kutoka nae ni ngumu kwa kweli maana tangu afanyiwe upasuaji hata mwezi bado na nile hali ya ajali nahisi kaibisa akiwa kwenye gari ni kama anaweweseka, ooh mara punguza mwendo, Subiri kwanza paki upumzike n.k kiufupi ile hali haijamtoka,tunatumia muda mwingi tumtoapo nyumbani kumpeleka hospital kwa ajili ya regular checkup,hivyo kumtoa outing ni ngumu mno
Kimahusiano Hakuna mawasiliano kwa sasa, japo naamini ipo siku yatakua sawa
okey pole mamy ila usijali kuwa naye karbu mno simu zako weka silence mtu akipiga ongea naye ikiwezekana na mumeo asikie .. hapa tunaangalia namna ya kumhil kisaikolojia kwanza kabla ya mengine so ishinaye kwa akili
 
Ni probability ila uwezekano upo japo si Leo wala kesho ila kwa Uwezo wa Allah ishaAllah naamini itakua hivi karibuni
Pole sana kwa matatizo.
Mungu akutie roho ya ujasiri,huruma na upendo.
Nafikiri shemeji amepata depression na yupo katika trauma kufuatia hali yake.Mwanasaikoloji,kiongozi wa dini wanahusika.
 
usimtreat kama mgonjwa wa kiivyo endelea na mbwe mbwe zako kama kawaida halafu umwachie yeye.. usitoke bila kuaga mwambie babay naenda kuchukua pesa au baby naenda sokoni kama unaweza kumtuma mwingine fanya hivyo
Shukrani, ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom