Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.
Hivi ni lini tutaanza kupata habari live

hawa jamaa wanachezea akili zetu sana, wanarekodi then wanatuwekea CD, sisi ndio tunaona......dah, kweli bongo tunajua kuupepeta mdomo tu ila hakuna kitu kwenye vitendo......kujidai kwingi.....
Hili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.
Hivi ni lini tutaanza kupata habari live
TBC sasa hivi hata kamera za kutosha hawana ,wameishiwa kazi yao kuomba omba tuu wapuuzi jambo zito kama hilo serikali inanyanyasa wananchi wao wanacheza taarabu ,si kuna msigwa kule kila siku habari zake zinarushwa,wako radhi watuonyeshe CCM sijui wanavuana magamba kuliko jambo la kuporwa uhai linalofanywa na serikali ya ccm
huu utamaduni nahisi hatunao lakini kwa karne hii kama hatupewi habari motomoto hawajifunzi kwa wenzaoHili jambo linasikitisha kabisa mpaka leo tunasubiri kusomewa habari saa mbili za usiku au saa moja. Kuna tukio linatokea huko songea na tunasikia imekuwa tafrani lakini chombo chetu kama TBC sasa hivi wameweka taarabu.