Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 919 Reaction score 1,101 Feb 21, 2023 #1 Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea?
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,467 Reaction score 25,994 Feb 21, 2023 #2 We jamaa lazima utakuwa umetokea mkoa wa Facebook umehamia na fujo zako mjini JF. .
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 13,006 Reaction score 27,083 Feb 22, 2023 #3 Hemedy jr Junior said: Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea? Click to expand... Kwa hyo nyie wanaume Leo mmekua jua na Simba wenye meno butu 🤨
Hemedy jr Junior said: Wangapi hapa tumeenda sawa? Vitabu vimeandika mwanamke marufuku kutoa sauti ya juu kwa mwanaume, sasa inakuwaje mwanamke anakukoromea? Click to expand... Kwa hyo nyie wanaume Leo mmekua jua na Simba wenye meno butu 🤨