Hivi ni lini mwanamke/mama ataheshimiwa?

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
****mamako!! Ni tusi lililo kwenye midomo ya watu wengi sana, wake kwa waume!Ivi mimi na wewe tumekoseana, kwa nini umtusi mama yangu?Icho unachokitukana kina uhusiana gani na ugomvi wetu?Someties hata sio ugomvi, mtu tu anataka kusifia kitu ila anaanza na *****mamako!Loh, jamani nakkerwa sana!
Jirekebishe wewe uliye na mazoea ya kutoa tusi hilo kwa wenzako!
 
Mimi ni mmojawapo naekerwa sana na tusi hilo! Hususan mwanamke anapolitamka.
1. Hiyo ndio njia ya kufika duniani kutoka tumboni kwa mama, isipokuwa wale wanatolewa kwa operesheni.
2. Hiyo ndio starehe kubwa Duniani. Na ndio chanzo cha watu kukaa pamoja kama Mke na Mume.
3. Kila mmoja wetu ana mamake, kwanini umtukane mamako? Yaani unapomtusi mama wa mwenzio, wewe ndio unakuwa chanzo cha kutukaniwa Mamako; hivyo ni sawa na kusema umemtukana Mamako!
4. **** ni pahala patukufu hivyo panastahili heshima zote;

Nawasilisha
 
Na kwa nini kile kiungo cha kina baba/wanaue hakitukanwi?
 
Back
Top Bottom