Hivi ni lazima kuhonga!??

Hivi ni lazima kuhonga!??

Sio lazima kuhonga ila ni lazima kuhongwa
 
Pengine umehonga kagari kamilioni nane halafu unakuja kutuchefua hapa.
Uzuri na utanashati wa wanawake wa leo unatushauri tusiwahonge!! umerogwa wewe
 
Back
Top Bottom