Hivi ni lazima kuhonga!??

Hivi ni lazima kuhonga!??

Thanks Smart911

Hakika najivunia kuwa nawewe Smart911 wangu
mahondaw uzuri sio sura, pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani, bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, Busara na Imani...

mahondaw heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi wawili kuaminiana... Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi ni mimi na we tukipendana...
Nami ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakukosa...
 
Kuhonga ama kutokuhonga ni maamuzi ya Mtu, kama wewe huwezi waache wanaoweza.
 
unamhudumia mtu ambae hata kwao hawakujui.....huo ujinga me sifanyi asee
Bro hii mimi imenigusa tena sana.......kuna mtoto nahudumia sana nikijicheki hata sister yake hanijui. Faza wake tunasali naye mara nyingi tu namjua ye hanijui afu mi mwanawe ndo vile daaah.......ngoja nikafikiri mara mbili mbili......kama vipi ntapiga chini.
 
Kuhonga si lazima ila kusaidiana ni lazima.
 
kuhonga ni uzezeta wa kiwango cha lami, yaani kuwa na papuch ndo unalifanya duka la kukuingizia pesa? Me naamini ili upate pesa lazima uingage in economic mode of production. Ulaya wanawake hawapendi kuhongwa ni 50/50 u scratch my shoulder I will scratch ur back.
 
Hivi ni lazima sisi wanaume kuhonga honga pesa Kwa mademu zetu yani michepuko?

Kitabu gani kitakatifu kimeandika lazima wanaume tuwape pesa wanawake
Hao si wanandugu zao acha wasaidiwe na ndugu zao
Tusipende pende kuhonga kwa michepuko .

Na nyinyi mkaombe kunjunjana na dada zenu mpewe bure. Kwani kitabu gani kitakatifu kilichosema muwe na mademu au michepuko?
Ya bure kaombe kwa mkeo.
 
Na nyinyi mkaombe kunjunjana na dada zenu mpewe bure. Kwani kitabu gani kitakatifu kilichosema muwe na mademu au michepuko?
Ya bure kaombe kwa mkeo.
Nawe yafaa ukatiwe na babako coz hakuna mwanaume wa kukuhonga ,so ukimpa babako atakulisha kikuvisha na kukupa mahitaji yote
 
kuhonga ni uzezeta wa kiwango cha lami, yaani kuwa na papuch ndo unalifanya duka la kukuingizia pesa? Me naamini ili upate pesa lazima uingage in economic mode of production. Ulaya wanawake hawapendi kuhongwa ni 50/50 u scratch my shoulder I will scratch ur back.
Raha mpate wote ila ww ndo uwe mtoaji. Ni Upimbi
 
Nawe yafaa ukatiwe na babako coz hakuna mwanaume wa kukuhonga ,so ukimpa babako atakulisha kikuvisha na kukupa mahitaji yote

Kwanini nitiwe na babaangu wakati wanaolipia wapo? Wewe si ndio umeingiza undugu kwenye tamu? Kachukue kwa ndugu zako.
Mimi ikidoda naipeleka mnadani kuna wateja kibao!
 
Ndugu iliandikwa utakula kwa jasho,usifikiri walimaanisha kula makande tu.unapokua wakiume chochote unachotaka kukitumia lazima jasho litoke.na wanawake ni sehemu ya mahitaji yetu wanaume ndo maana ata mkeo ndani ya nyumba unamhonga kila cku kwanjia mbali mbali kama ela ya matumizi,salun namengine na inawezekana bado ulimpata kwa mahari kubwa.kwaiyo ndugu usiogope kutoa ili ule papuchi maana ayo nimajukum yakiume.Ila usije ukahonga vikubwa zaidi ya uwezo wako alafu badae uumie roho.Na endapo unataka kuhonga kikubwa tumia neno"kumpa sababu ya matumizi" badala ya neno kuhonga.Ukihonga mtu kitu kinakua chake jumla jumla ila ukimpa bado kinakua ndani ya umiliki wako na mnaweza tumia pamoja na siku akizingua unakichukua kabisa.
 
Mm Mwanamke nisipompa hela ni kama vile niende kanisani au msikitini bila kutoa sadaka,yani naona kama vile cjakamilika....Simaanishi kama mm ndio mhongaji mkubwa hapana lakini nafanya yalio ndani ya uwezo wngu..ni lazima usimamie uanaume wko!!
 
Back
Top Bottom