Hivi ni lazima kiongozi kuwa mkali, mwenye kujisifu na mwenye mikwara kwa wananchi?

Nauliza ili nijue. Kiongozi hawezi kuwa mpole, mstaarabu, mtaratibu, mwenye kuheshimika kwa wananchi wake, anayeishi nao kwa kauli njema na Amani na kushirikiana nao katika shughuli za kujenga taifa kwa staha na heshima kwake na kwao?

Ni lazima kiongozi awe na kauli na matendo ya kutisha, aliyejaa mikwara na kiburi? Yaani kuwa kiongozi ni kuwa na kibali cha kutisha, kujisifu kwa mamlaka aliyonayo kwa wananchi hadi wananchi wayajue mamlaka yake?

Wenye majibu karibuni...
Ukiona kiongozi wa aina hiyo ujue no dhaifu na hajiamini
 
Mwalimu alikuwa ni mkali akiona mambo ya msingi yanakiukwa lakini bado alikuwa na ushawishi kwa watu wengi. Inawezekana aina ya uongozi unaokupa ushawishi kwa watu unaowaongoza unachangiwa pia na kipawa ulicho nacho katika uongozi
 
Ukali saa nyingine unasaidia ila unazaa unafiki, uzandiki, uonevu na kabambone (wacha nionekane) kwa subordinate wa huyo kiongozi.

Mwalimu alikuwa mkali. Alikemea watu kwenye mikutano ya wazi na alijibu watu hovyo kabisa lakini kimatendo, alitenda. Mwalimu alisafiri nchi mbali mbali akajenga urafiki na nchi nyingi Ulaya, Asia na Amerika. Tulipata marafiki na watu wa kutusaidia saana ingawa alikuwa anachukia misaada na mikopo. Yeye alipokea saana misaada ambayo sisi tuliokuwa wanafunzi enzi zake tulifaidi.
Mwalimu hakuwa na watu wakweli karibu naye labda wachache kama Kawawa na akina mzee Butiku, Apiyo na wengine kiduchu.
Mkapa alikuwa mnafiki saana kwa Mwalimu ndo maana aliuza kila kitu baada ya Mwalimu kufariki. Mkapa alienda mbali na kumsema aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini kuwa siyo ndugu wa Mwalimu?? Mpaka akina Madaraka wakaingilia kati.

Nimeongea mengi out of point kuonyesha kuwa unaweza kuwa mkali lakini ukawa muwazi na ukafanya mengi kwa watu. Kuongea na kujipendekeza hakufai. Sikuona Mwalimu anagawa pesa kama peremendi enzi zake.
 
Inategemea na Kiongozi huyo ni wa haiba ipi ktk aina za watu.Mfano kama ni wa aina ya Sanguine sahau kuhusu utulivu maana wao ni watu wa kukurupuka,hasira, mikwara,nk sifa ulizozitaka hawana na hawawezi hata uwape vipi shule ni nature tabia ya kuzaliwa nayo. Ukiona Kiongozi wa hivyo huyo sio Kiongozi ni mtawala kutawala ni kumiliki akili na mawazo ya watu wafanye utakavo ili kukufurahisha wwe hata kama wataumia,watakufa, watafilisika,nk.Kiongozi ni MTU aonyeshaye njia yaani kuwa chukua watu na kuwatoa sehemu ngumu au duni na kuwapeleka penye ustawi sahihi.Ukiona Kiongozi ana tabia za ukali,kufokafoka,mikwara ni dhaifu,ni muoga,ana utupu uwazi ndani mwake hivyo ufanya hivyo kutengeneza gap ili usiwe karibu nae aogopwe ili watu wasijue udhaifu wake.Ukitaka kummaliza Kiongozi wa hivyo usimuogope,nyoka nae,mbane kwenye fact hoja japo kisaikolojia utakuwa unamuumiza,wengi awapendi ukinzani thus kama ni kwenye ofisi ataakikisha anawahamisheni nyote au kuwafukuzeni nyote ili aweke watu dhaifu watakaomuogopa.Kiongozi sahihi hata tabia hizo.
Nashangaa hata watu tuliowadhania ni imara kama Prof. Ndalichako sasa hivi wamekuwa wapiga makofi? Mwakyembe sumu aliyopewa iliharibu ubongo wake tumsamehe.
 
Nauliza ili nijue. Kiongozi hawezi kuwa mpole, mstaarabu, mtaratibu, mwenye kuheshimika kwa wananchi wake, anayeishi nao kwa kauli njema na Amani na kushirikiana nao katika shughuli za kujenga taifa kwa staha na heshima kwake na kwao?

Ni lazima kiongozi awe na kauli na matendo ya kutisha, aliyejaa mikwara na kiburi? Yaani kuwa kiongozi ni kuwa na kibali cha kutisha, kujisifu kwa mamlaka aliyonayo kwa wananchi hadi wananchi wayajue mamlaka yake?

Wenye majibu karibuni...
Wala si lazima... Ni hulka ya mtu mwenye visasi tu nfo huwa hivyo.... kumbuka kauli hii..... nanukuu... MZEE SI UCHUKUE FORM? NANI MIMI..??! WATALIMIA MENO...!!.... mwisho wa kunukuu.,.

Ili mtu atoe kauli kama hii ni lazima awe amejaa visasi moyoni
 
Huyu jamaa hakupaswa kabisa kuwa pale alipo, hana sifa na hawawezi! Roho mbaya, chuki na sifa za ' kijinga' vimemjaa! Watu wa hivi hata kwenye familia zao ni shida!
 
Haina ulazima wowote, Wajifunze kua wakarimu na wasikilizaji kuliko kuongea kwa ukali na mikogo
 
Nauliza ili nijue. Kiongozi hawezi kuwa mpole, mstaarabu, mtaratibu, mwenye kuheshimika kwa wananchi wake, anayeishi nao kwa kauli njema na Amani na kushirikiana nao katika shughuli za kujenga taifa kwa staha na heshima kwake na kwao?

Ni lazima kiongozi awe na kauli na matendo ya kutisha, aliyejaa mikwara na kiburi? Yaani kuwa kiongozi ni kuwa na kibali cha kutisha, kujisifu kwa mamlaka aliyonayo kwa wananchi hadi wananchi wayajue mamlaka yake?

Wenye majibu karibuni...

Sio lazima kwa watu waliotulia. Kwa Watanzania wa wa sasa hutaeleweka ukiongea taratibu. Jaribu Uone.

Watakuona bwege fulani, mdhaifu, Fala flani. Sasa unafanyaje?
 
Tumeona matokeo ya kiongozi mpole,mstaarabu,mtaratibu,

Ni muda wa kuwa na kiongozi mkali,vitisho,masifa,ili tuone matokeo yake pia na tutofautishe kwa vigezo vya faida zake na hasara zake pia
Point
 
Inategemea na Kiongozi huyo ni wa haiba ipi ktk aina za watu.Mfano kama ni wa aina ya Sanguine sahau kuhusu utulivu maana wao ni watu wa kukurupuka,hasira, mikwara,nk sifa ulizozitaka hawana na hawawezi hata uwape vipi shule ni nature tabia ya kuzaliwa nayo. Ukiona Kiongozi wa hivyo huyo sio Kiongozi ni mtawala kutawala ni kumiliki akili na mawazo ya watu wafanye utakavo ili kukufurahisha wwe hata kama wataumia,watakufa, watafilisika,nk.Kiongozi ni MTU aonyeshaye njia yaani kuwa chukua watu na kuwatoa sehemu ngumu au duni na kuwapeleka penye ustawi sahihi.Ukiona Kiongozi ana tabia za ukali,kufokafoka,mikwara ni dhaifu,ni muoga,ana utupu uwazi ndani mwake hivyo ufanya hivyo kutengeneza gap ili usiwe karibu nae aogopwe ili watu wasijue udhaifu wake.Ukitaka kummaliza Kiongozi wa hivyo usimuogope,nyoka nae,mbane kwenye fact hoja japo kisaikolojia utakuwa unamuumiza,wengi awapendi ukinzani thus kama ni kwenye ofisi ataakikisha anawahamisheni nyote au kuwafukuzeni nyote ili aweke watu dhaifu watakaomuogopa.Kiongozi sahihi hata tabia hizo.
Daa umeongea kitaalamu sana aisee
 
Hii thread matamani aione mwenyewe enyi TISS hebu jaribuni kumuelekeza rais wetu juu ya raia kuwa na hisia nae hasi kiasi hiki la sivyo AMANI ya nchi ikipotea tutawalaumu sana.
IFIKE POINT MHE RAIS AAMBIWE UKWELI KUHUSU DATA ZA UKWELI ZINAZOHUSU MAISHA YA WATZ.
 
Hao ni wanufaika katu usitegemee labda Wangekuwa wanabeba zege.Hao ndo umpotosha ili wavute noti.Lzm wwe uumie ili waendelee kuvuta noti,si unajua mwafrica ndio species yenye high level of selfness na unafiki mbele ya tumbo.
 
Baba mkali mkali ni dalili kuwa anamiliki kibamia!

Nimeipata kijiweni
 
Haina ulazima wowote, Wajifunze kua wakarimu na wasikilizaji kuliko kuongea kwa ukali na mikogo

Ukali ni udhaifu,Ukitaka kuthibitisha mjibu kwa fact au buruza mahakamani. Tzzo ni udhaifu wa wanaotawaliwa,Kenya awakuogopa waliwaburuza sana viongozi dhaifu (wakali) kwenye Sheria ( fact) hadi wakanyoka nao sawa.Kiongozi yeyeto akitoa matamko binafsi na ya si ya kikatiba mfano weka ndani we buruza mahakamani usiogope.Kiongozi yeyeto wa kiafrica ni lzm awekewe mipaka ya kumdhibiti ili asilete madhara ttzo la waafrica wengi uchanganya matakwa binafsi na ya kiutendaji awajui mipaka ya Kazi zao.
 
Hao ni wanufaika katu usitegemee labda Wangekuwa wanabeba zege.Hao ndo umpotosha ili wavute noti.Lzm wwe uumie ili waendelee kuvuta noti,si unajua mwafrica ndio species yenye high level of selfness na unafiki mbele ya tumbo.
Umesomeka
 
Back
Top Bottom