Hili ni swali very serious, hii small pox ni ya watz tu, wengine hawaumwi?Ili ng'ombe wako asipotee ni lazima umuwekee alama ya muhuri wa moto....
Yaani ukizamia tu nchi jirani, wanaangalia mabega tu wanafahamu kwamba huyu katokea Tanzania.
Kuna dada mmoja aliwahi kuleta kisa humu kuwa alienda kambi ya JWTZ Lugalo lakini akasahau kitambulisho chake cha kazi kwa maana yupo private sector. Aliendelea kwa kusema mwanajeshi walimpa kash-kash nyingi ikiweo kuangaliwa kama ana alama ya ndui begani.Ili ng'ombe wako asipotee ni lazima umuwekee alama ya muhuri wa moto....
Yaani ukizamia tu nchi jirani, wanaangalia mabega tu wanafahamu kwamba huyu katokea Tanzania.
Labda haikuwa kinga ndui ilikuwa poteza akiliNauliza kwa ufupi sana,
Je, ni kwanini alama ya chanjo ya Ndui ipo kwa waTz tu? Ina maana hii small pox inadhuru Watanzania tu?
Zamani vyombo vya dola kutambua kama wewe ni mtanzania au mamluki njia rahisi ilikuwa ni ndui.....Hili ni swali very serious, hii small pox ni ya watz tu, wengine hawaumwi?
Siku hizi mnaangalia nini ?Zamani vyombo vya dola kutambua kama wewe ni mtanzania au mamluki njia rahisi ilikuwa ni ndui.....
Tunatumia koleo kupima kucha na meno.....Siku hizi mnaangalia nini ?