successor JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 3,084 Reaction score 6,155 Aug 24, 2015 #21 Hivi mishahara ya mwezi huu bado haijatoka?
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 Aug 24, 2015 #22 successor said: Hivi mishahara ya mwezi huu bado haijatoka? Click to expand... Kwa ajili ya uchaguzi hakuna sekita inayoonewa na wanaaccm kila kiongozi anawatumia cjui kwannn hawajielewi
successor said: Hivi mishahara ya mwezi huu bado haijatoka? Click to expand... Kwa ajili ya uchaguzi hakuna sekita inayoonewa na wanaaccm kila kiongozi anawatumia cjui kwannn hawajielewi
Void ab initio JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 5,740 Reaction score 5,703 Aug 24, 2015 #23 kipoma said: Nasikia tu kuwa Rais Kikwete alisema huko Arusha, uhakika unahitajika kwa mwenye taarifa sahihi! Click to expand... Duuh kama ni kweli, hii ni danganya toto ya CCM.
kipoma said: Nasikia tu kuwa Rais Kikwete alisema huko Arusha, uhakika unahitajika kwa mwenye taarifa sahihi! Click to expand... Duuh kama ni kweli, hii ni danganya toto ya CCM.
M MZALENDO NO.1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 302 Reaction score 134 Aug 24, 2015 #24 Acheni mambo yakupewa ahadi za kitoto, MUDA WOTE HUO WASIWAONGEZEE! MBONA WANAWAONGEZEA KIPINDI KAMPENI
Acheni mambo yakupewa ahadi za kitoto, MUDA WOTE HUO WASIWAONGEZEE! MBONA WANAWAONGEZEA KIPINDI KAMPENI
A Allam Senior Member Joined May 4, 2013 Posts 142 Reaction score 9 Aug 24, 2015 #25 naomba kujua mini hatima ya katiba mpya?