idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,306
- 38,511
point yako hapo nn mkuu....ipi kiboko roba au mzinga
Anamaanisha kwa ujazo ulele wa mzinga Jaza viroba uanze kutiririka uone Shughuli yake.
point yako hapo nn mkuu....ipi kiboko roba au mzinga
Ujazo wa kiroba please(bia ni 500cc).
Sio kweli. Kuna jamaa anakunywaga viroba 15 kila siku na halewi. Ina maana ni sawa na kreti5?
Mkuu roba ni khabari nyingine. Kama umezoea kulaza bapa na ukawa poa , ukilaza bapa full of roba lazma utaona tofauti.
nasikia hakigandikiroba cha jogooo hata ukiweka kwenye friza hakipoi... Ni shida
Mkuu hili ninalo liongea nina ushahidi nalo asilimia 100, mi huyu jamaa huwa nashindwa kumuelewa hata anafanyaje ni mmakonde, kuna sehemu nilikuwa naye kikazi, na bila kunywa hata kazi hawezi fanya, asubuhi tu lazima anywe vitano mchana 5 au 4, na usiku kulala ana malizia 5!!!na huwa ananunua kile ki outer kizima chenye pc 20!! Kuwa yeye kwao alishazoea pombe inaitwa NIPA nasikia hiyo unapoinywa lazima chini ya suluali miguuni ufunge kamba kwani unaweza sikia haja kubwa ilishatoka zamani.Hili suala nina uhakika nalo mkuu
Kiroba cha jogooo hata ukiweka kwenye friza hakipoi... Ni shida