Nel Nelson
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 154
- 43
Katika kipindi cha Malumbano ya Hoja ITV kuna mchangiaji moja alidai viloba 3 ni sawa na kreti 1 ya bia. HII NI KWELI? MAANA INATISHA!

Piga hesabu, viroba kuna vyenye kilevi % 40 na %35, na kawaida kreti za bia zina chupa 25, na kilevi ni kwa asilimia mbalimabli mfano 5.8%,4%,4.5% nk sawa wewe calculate utapata jibu.

Bia 25 zinayo ujazo wa 12500 cc kiwango cha kilevi ni sawa 4/100x12500=500 cc. Assume kila kiroba ujazo 100 cc hivo viloba vitatu ujazo ni 300 cc na kiwango cha ulevi sawa na 40/100x300=120cc. Dhahiri bia 25 ni zaidi ya viroba 3.

Inawezekana kabisaaa, hata bila kupiga mahesabu hayo, jiulizeni kwanini walevi wengi kwasasa wanampenda viroba zaidi? Ukiangalia wengi wanafata ukubwa wa percentage ya alcohol, ili walewe haraka basi.